TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
umenifanya nilisome😂😂jina lako sasa..😂
watu hawachelewi...😀umenifanya nilisome😂😂
Hata sikupingi
Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba!
Natumbua kabisa hizi movie mara nyingi ni fiction zinazokosa uhalisia,lakini hii movie imefanya nikawaza mambo mengi sana!
Kiukweli ni movie yenye stori nzuri ila imeniachia majonzi baada ya kuona mwanamama anavyohangaika na mwanaye katika hali isiyokuwa na msaada tena katikati ya Bahari!
Aiseeee!😭😭
NO WHERE
walizidisha uongo kuna mambo huwa hayawezekani wapuuzi tu!
Nilitaka Ni download niangalie na familia Ila minyanduano Tena ngoja niachane nayo..Ndio, angalia kuanzia dkk ya 51 - 86 n mwendo wa minyandua tuu dkk zote hizo
Achana nae huyo, nmemjibu jinsi alivyotaka kujibiwa.Nilitaka Ni download niangalie na familia Ila minyanduano Tena ngoja niachane nayo..
Kawaida sana.Itafute hii, hautalia tu na kichwa kitakuima kwa kilio
View attachment 3017725