Hii nchi ina maajabu. Wanajeshi wanawaomba raia wawatetee

Hapo vip!

Unajua hii dunia haishi viroja

Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeona andiko moja iliyoandikwa na mwanajeshi eti akisema wanazuruzurishwa mjini na mapolisi ndio wakubwa zao.

Eti wanasema hii haijakaa vizuri na kwenye lile andiko lake anaomba raia watoke tar 9 maana yake wanataka raia wawatetee

Mimi nawashauri wanajeshi mtulie kimya bora mambo yenu mfiche wala msituambie maana sana sana mtadhalilika zaidi na kuendelea kukumbushia wananchi mambo ya tar.29
Tanzania hakuna jeshi wala wanajeshi, ni bora wakavua combats wakavaa vijora. Hata mgambo wa city wanajiamini zaidi ya JWTZ, Tanganyika itaendelea kuwa koloni la Zanzibar mpaka Wazanzibari watakapoamua kuliachia kwa hiyari yao.
 
Hapo vip!

Unajua hii dunia haishi viroja

Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeona andiko moja iliyoandikwa na mwanajeshi eti akisema wanazuruzurishwa mjini na mapolisi ndio wakubwa zao.

Eti wanasema hii haijakaa vizuri na kwenye lile andiko lake anaomba raia watoke tar 9 maana yake wanataka raia wawatetee

Mimi nawashauri wanajeshi mtulie kimya bora mambo yenu mfiche wala msituambie maana sana sana mtadhalilika zaidi na kuendelea kukumbushia wananchi mambo ya tar.29

Wale ni chama cha VIKOBA
 
Hao jamaa hawaaminiki hata kidogo! Tulidhani wanatafuta kisingizio kuwa mama la mama anapingwa na watu hivyo wafanye mpinduzi, watu tukatoka kwa wingi ili tuwape sababu ya kupindua nchi lakini wakatugeuka! Wa kumwamini ni Tesha tu maana tunajua alikosa sapoti kutoka kwa wenzake.
Tatizo akili zenu zimeshikwa na Mange yaani mnaokoteza propaganda uchwara za Mange ili awaingizeni kingi mwisho wa siku mkikamatwa mkose marinda

Kuna dogo tokea aachiwe juzi huku mtaani yupo na bible muda wote
 
Hao jamaa hawaaminiki hata kidogo! Tulidhani wanatafuta kisingizio kuwa mama la mama anapingwa na watu hivyo wafanye mpinduzi, watu tukatoka kwa wingi ili tuwape sababu ya kupindua nchi lakini wakatugeuka! Wa kumwamini ni Tesha tu maana tunajua alikosa sapoti kutoka kwa wenzake.
hadi wanajeshi wanaogopa kufa
 
Hapo vip!

Unajua hii dunia haishi viroja

Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeona andiko moja iliyoandikwa na mwanajeshi eti akisema wanazuruzurishwa mjini na mapolisi ndio wakubwa zao.

Eti wanasema hii haijakaa vizuri na kwenye lile andiko lake anaomba raia watoke tar 9 maana yake wanataka raia wawatetee

Mimi nawashauri wanajeshi mtulie kimya bora mambo yenu mfiche wala msituambie maana sana sana mtadhalilika zaidi na kuendelea kukumbushia wananchi mambo ya tar.29
Ile ni MILITIA.
 
Back
Top Bottom