Hii nchi ina maajabu. Wanajeshi wanawaomba raia wawatetee

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo vip!

Unajua hii dunia haishi viroja

Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeona andiko moja iliyoandikwa na mwanajeshi eti akisema wanazuruzurishwa mjini na mapolisi ndio wakubwa zao.

Eti wanasema hii haijakaa vizuri na kwenye lile andiko lake anaomba raia watoke tar 9 maana yake wanataka raia wawatetee

Mimi nawashauri wanajeshi mtulie kimya bora mambo yenu mfiche wala msituambie maana sana sana mtadhalilika zaidi na kuendelea kukumbushia wananchi mambo ya tar.29
 
Ni wazi kila mtu kwa sasa anatamani kutetewa. Tunakesha kusubiri ukombozi. Mpaka vijijini watu wanategemea taarifa mtandaoni. Hakuna anayesikiliza redio wala tv. Kidogo bbc ndio wanasikiliza. Mungu kwa mkono wake atuondolee viongozi haramu na aturejeshee haki ya kuchagua na kuchaguliwa inshaallah
 
Hapo vip!

Unajua hii dunia haishi viroja

Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeona andiko moja iliyoandikwa na mwanajeshi eti akisema wanazuruzurishwa mjini na mapolisi ndio wakubwa zao.

Eti wanasema hii haijakaa vizuri na kwenye lile andiko lake anaomba raia watoke tar 9 maana yake wanataka raia wawatetee

Mimi nawashauri wanajeshi mtulie kimya bora mambo yenu mfiche wala msituambie maana sana sana mtadhalilika zaidi na kuendelea kukumbushia wananchi mambo ya tar.29
Wakuu wao wamewaingiza kwenye mfumo hawana la kufanya
 
Mwezi October wameingiziwa mshahara mara mbili mbona hawakutoka kusema watetewe kuhusu hilo.
Wakafanya shopping za maana kwa familia zao halafu wakatoka kuwasapoti polisi wakimwaga damu za watanzania zisizo na hatia
 
Mshahara mara mbili? Hakuna kitu kama hiko
 
Back
Top Bottom