Hii nchi ina maajabu. Wanajeshi wanawaomba raia wawatetee

Hii nchi ina maajabu. Wanajeshi wanawaomba raia wawatetee

Sawa kabisa "Shule A inamiliki CHAKI na shule B inamilik UBAO na Shule C inamilik KITABU."

Nilishangaa sana siku niliposkia kitu kama hichi eti kila kambi inakuwa na zana zake na hakuna kambi iliyokamilika kwa maana ya kuwa na silaha za aina zote... eti kuna kambi ambayo ina stock ya silaha special kwa mashambulizi ya angani, kuna kambi ina stock ya mashambulizi ya aridhini, na kambi zingine hivyo hivyo...

Nilishangaa sana kwa nchi kubwa kama hii kuwa na jeshi la dizaini hiyo lenye cordination hafifu.

Ila nilishangaa zaidi niliposkia kuwa limeundwa kwa utaratibu huu mbovu hili kuondoa uwezekano wa kufanya mapinduzi kwa mtawala aliyeko juu.

Can you imagine yaani watawala wa tanzania wakati wanaliunda hili jeshi kipaumbele chao cha kwanza ilikuwa ni kuweka mazingira magumu ya wao kupinduliwa pasipokuangalia kama muundo huo unaweza kumrahishia adui kutoka nje akatupiga atakavyo?

Ndio maana mimi siku hizi huwa naliita ni jeshi la wapumbavu.
Alafu kuna wale ambao walikuwa wanabana pua eti ooh kagame akija sasa hivi hata kabla hajavuka mpaka jwtz tushamsambaratisha kwa uozo huo unazani watatoboa

makubwa haya 🙌
 
Nimeshangaa eti nao wanatuomba sisi tuwakomboe 😹😹😹

Hili jeshi linachekesha sijapata kuona, hao siku M23 wakivamia wanaweza kuvaa kiraia kuogopa kufa..!!
 
Subiria meza ipinduliwe.. wataomba uji badala ya kuomba maji
Bado sana! Kwa yaliyo tokea Mo29? Sheria inawataka masaa 72( siku 3 ) kama risasi na mabomu yanaendelea kusikia wachukue nchi, sasa ngoma zimerindima week nzima unasema kuna jeshi hapo, hii kazi ilikua imesha isha, kurudia kazi inaonyesha jinsi gani walipoteza umakini kwa kiwango cha juu kabisa na wanatusumbua tu, sasa ndio yatakua maisha ya kuchimbana biti na henyahenya iwa miaka mi5 !?
 
Back
Top Bottom