much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,592
Tena wametepetaHawa wajomba wamezingua
Tena wametepetaHawa wajomba wamezingua
Kufata Amri ndo kunawafanya wasifanye chochote.
Na pili hapa tz yakitokea mashambulizi ya ghafla tutapigwa kwel.
Majeshi yetu hayana ukaribu ni kama shule na wanafunzi wake hawajuan sana na shule ya jiran ila wote ni wanafunz na hawana vifaa kamiri kila kambi inamiriki nusu ya siraha.
Shule A inamiliki CHAKI na shule B inamilik UBAO na Shule C inamilik KITABU.
hawana umoja ndo maana ni ngumu kuunganikana na wakapindua nchi.
kwani watatofautiana mawazo wale viongoz wa Shule.
Kwan kiongoz wa kwanza alinusurika kupinduriwa akaamua kuwagawa hv
Acha ngonjera wewe mwanajeshi akiamua kuoindua nchi hata Kambi Moja tu mnapindua halafu muwasikilize hao wengine wanaojifanya wanalinda watawala tanzania hamna jeshi la kuoindua nchi hata kama yangekua yanalalaa na kuamka pale uwanja wa taifa yote yasingeweza kupindua nchi sababu ni maogaKufata Amri ndo kunawafanya wasifanye chochote.
Na pili hapa tz yakitokea mashambulizi ya ghafla tutapigwa kwel.
Majeshi yetu hayana ukaribu ni kama shule na wanafunzi wake hawajuan sana na shule ya jiran ila wote ni wanafunz na hawana vifaa kamiri kila kambi inamiriki nusu ya siraha.
Shule A inamiliki CHAKI na shule B inamilik UBAO na Shule C inamilik KITABU.
hawana umoja ndo maana ni ngumu kuunganikana na wakapindua nchi.
kwani watatofautiana mawazo wale viongoz wa Shule.
Kwan kiongoz wa kwanza alinusurika kupinduriwa akaamua kuwagawa hvo
Waulize wanalinda nini au wanamlinda nani?Mpaka nimecheka nimepaliwa na konyagiiii yangu hapa 😁
Aiseeee hapa ilala jua ni Kali sanaa ni hatare kwa kweriiiiiWaulize wanalinda nini au wanamlinda nani?
Watakwambia hawafahamu, sasa kwanini unakubali kuzurula bara barani kama mwehu au mgambo wa jiji asiyejielewa?
Mkuu wanalinda vituo vya mwendokasi na ma busJeshi ukiwa huna nyota hata moja, thamani yako ni kama mgambo wa jiji.
Mwanajeshi unaakili timamu una zurula barabarani kulinda usichokijua au kukiona?
Mkuu bora Mgambo wa jiji anaelewa Majukumu yake ndani ya jiji.Waulize wanalinda nini au wanamlinda nani?
Watakwambia hawafahamu, sasa kwanini unakubali kuzurula bara barani kama mwehu au mgambo wa jiji asiyejielewa?
Sawa kabisa "Shule A inamiliki CHAKI na shule B inamilik UBAO na Shule C inamilik KITABU."Kufata Amri ndo kunawafanya wasifanye chochote.
Na pili hapa tz yakitokea mashambulizi ya ghafla tutapigwa kwel.
Majeshi yetu hayana ukaribu ni kama shule na wanafunzi wake hawajuan sana na shule ya jiran ila wote ni wanafunz na hawana vifaa kamiri kila kambi inamiriki nusu ya siraha.
Shule A inamiliki CHAKI na shule B inamilik UBAO na Shule C inamilik KITABU.
hawana umoja ndo maana ni ngumu kuunganikana na wakapindua nchi.
kwani watatofautiana mawazo wale viongoz wa Shule.
Kwan kiongoz wa kwanza alinusurika kupinduriwa akaamua kuwagawa hvo
Ukiwauliza zaidi ya hapo watakwambia sisi kazi yetu ni kutii na kufuata order ya mkuu wetu basi..!!Waulize wanalinda nini au wanamlinda nani?
Watakwambia hawafahamu, sasa kwanini unakubali kuzurula bara barani kama mwehu au mgambo wa jiji asiyejielewa?
Hawaruhusiwi kuwa na akaunti mitandaoniHapo vip!
Unajua hii dunia haishi viroja
Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeona andiko moja iliyoandikwa na mwanajeshi eti akisema wanazuruzurishwa mjini na mapolisi ndio wakubwa zao.
Eti wanasema hii haijakaa vizuri na kwenye lile andiko lake anaomba raia watoke tar 9 maana yake wanataka raia wawatetee
Mimi nawashauri wanajeshi mtulie kimya bora mambo yenu mfiche wala msituambie maana sana sana mtadhalilika zaidi na kuendelea kukumbushia wananchi mambo ya tar.29
Mnajazana ujinga, hakuna mjeda mjinga asiyejua kuwa akiwasiliana hivyo atapatikana