Hii nchi ina maajabu. Wanajeshi wanawaomba raia wawatetee

Kufata Amri ndo kunawafanya wasifanye chochote.
Na pili hapa tz yakitokea mashambulizi ya ghafla tutapigwa kwel.

Majeshi yetu hayana ukaribu ni kama shule na wanafunzi wake hawajuan sana na shule ya jiran ila wote ni wanafunz na hawana vifaa kamiri kila kambi inamiriki nusu ya siraha.

Shule A inamiliki CHAKI na shule B inamilik UBAO na Shule C inamilik KITABU.

hawana umoja ndo maana ni ngumu kuunganikana na wakapindua nchi.
kwani watatofautiana mawazo wale viongoz wa Shule.
Kwan kiongoz wa kwanza alinusurika kupinduriwa akaamua kuwagawa hvo
 
TANZANIA HATUNA JESHI BALI TUNASUNGUSUNGU WALIOVALISHWA BAKABAKA.YAFAA TUWANYAMG'ANYE BAKABAKA.BORA TUBAKI NA PILISI TU KULIKO HAO WAHUNI WANAOJIITA WANAJESHI
 
Nilikuwa ninaliamini sana JWTZ kutokana na historia yake na IDI AMIN, nikawa ninaliona ni jeshi shupavu, imara na lenye misimamo thabiti Afrika Mashariki na Kati,...imani hiyo ilikuja kuyeyuka kama barafu juani siku ya 29/10.

Tuna jeshi hafifu mnoo!
Tuombe tu ulinzi wa Mungu mwenyewe maana tukitegemea jeshi tumekwisha.
 
Achz

Acha ngonjera wewe mwanajeshi akiamua kuoindua nchi hata Kambi Moja tu mnapindua halafu muwasikilize hao wengine wanaojifanya wanalinda watawala tanzania hamna jeshi la kuoindua nchi hata kama yangekua yanalalaa na kuamka pale uwanja wa taifa yote yasingeweza kupindua nchi sababu ni maoga
 
Picha lianaanza jeshini kaingia na cheti kufoji, unazani ataenda wapi uyu tuwasemehe bure hawana pakwenda tukihitaji haki kwenye serikali mpya hawa hawana sifa za kuwa wanajeshi ndio maana hatuwaelewi wanalinda ajira zao
 
Ai
Waulize wanalinda nini au wanamlinda nani?

Watakwambia hawafahamu, sasa kwanini unakubali kuzurula bara barani kama mwehu au mgambo wa jiji asiyejielewa?
Aiseeee hapa ilala jua ni Kali sanaa ni hatare kwa kweriiiii
 
Sawa kabisa "Shule A inamiliki CHAKI na shule B inamilik UBAO na Shule C inamilik KITABU."

Nilishangaa sana siku niliposkia kitu kama hichi eti kila kambi inakuwa na zana zake na hakuna kambi iliyokamilika kwa maana ya kuwa na silaha za aina zote... eti kuna kambi ambayo ina stock ya silaha special kwa mashambulizi ya angani, kuna kambi ina stock ya mashambulizi ya aridhini, na kambi zingine hivyo hivyo...

Nilishangaa sana kwa nchi kubwa kama hii kuwa na jeshi la dizaini hiyo lenye cordination hafifu.

Ila nilishangaa zaidi niliposkia kuwa limeundwa kwa utaratibu huu mbovu hili kuondoa uwezekano wa kufanya mapinduzi kwa mtawala aliyeko juu.

Can you imagine yaani watawala wa tanzania wakati wanaliunda hili jeshi kipaumbele chao cha kwanza ilikuwa ni kuweka mazingira magumu ya wao kupinduliwa pasipokuangalia kama muundo huo unaweza kumrahishia adui kutoka nje akatupiga atakavyo?

Ndio maana mimi siku hizi huwa naliita ni jeshi la wapumbavu.
 
Waulize wanalinda nini au wanamlinda nani?

Watakwambia hawafahamu, sasa kwanini unakubali kuzurula bara barani kama mwehu au mgambo wa jiji asiyejielewa?
Ukiwauliza zaidi ya hapo watakwambia sisi kazi yetu ni kutii na kufuata order ya mkuu wetu basi..!!

Yaani yapo yapo tu kama matahira au mandondocha majinga hayo.

Kazi kutii tiii tu hata order za kipumbavu mathalani ti iwe imetoka kwa mkubwa wao, ila Nyerere ndio aliliharibu sana hili jeshi yule mzee.
 
Hivi nyie Matahira ni lini akili zenu zitafanya kazi?
Propaganda za ******* namna hii mlisambaziwa kabla ya September 29 mkajaa upepo mkafa kama kuku.
Leo hii tena walewale wanatemgeneza vi propaganda na nyie kwa kuwa akili zenu zina ujinga mwingi mnaamini kila kitu
 
Hawaruhusiwi kuwa na akaunti mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…