Hii nchi ina maajabu. Wanajeshi wanawaomba raia wawatetee

Alafu kuna wale ambao walikuwa wanabana pua eti ooh kagame akija sasa hivi hata kabla hajavuka mpaka jwtz tushamsambaratisha kwa uozo huo unazani watatoboa

makubwa haya 🙌
 
Nimeshangaa eti nao wanatuomba sisi tuwakomboe 😹😹😹

Hili jeshi linachekesha sijapata kuona, hao siku M23 wakivamia wanaweza kuvaa kiraia kuogopa kufa..!!
 
Subiria meza ipinduliwe.. wataomba uji badala ya kuomba maji
Bado sana! Kwa yaliyo tokea Mo29? Sheria inawataka masaa 72( siku 3 ) kama risasi na mabomu yanaendelea kusikia wachukue nchi, sasa ngoma zimerindima week nzima unasema kuna jeshi hapo, hii kazi ilikua imesha isha, kurudia kazi inaonyesha jinsi gani walipoteza umakini kwa kiwango cha juu kabisa na wanatusumbua tu, sasa ndio yatakua maisha ya kuchimbana biti na henyahenya iwa miaka mi5 !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…