Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Usioshe K na sabuni hata siku moja maana Ile chemical ya sabuni ikijimix na kale kaharufu ka kawaida ambako ni normal kwa msichana lazima itengeneze bomu, osha na maji tu Safi ya kutosha, ukisijikia upo OK basi upo sawa. Zaidi ya hapo ni kumuona tu daktari. I proved this beforeHuyo dada mlikua mmesogeleana hivo hadi usikie harufu na akiwa yupo na jamaa yake? Duh?