muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,557
- 6,128
Kuna wakati unafika tunammis JPM
kuoitia hili sakata la TUCTA na serikali hqpa nimemkumbuka sana JPM, sometime udikteta unasaidia Miaka sita watu hawajaongezwa mishahara lakini hawakuongea kitu walikaa kimya kabisa kama hakuna lililotokea.
Samia kawainua wa kima cha chini kwa 70K na wengine kawaongeza ongeza lakini wanamuona hafai TUCTA wanajifanya kuipa serikali muda kwani kipindi kile walikua wapi?
JPM alikua na maamuzi magumu alikua na uwezo wa kufukuza hata wafanyakazi laki moja na msimfanye kitu, Sasa natahadharisha Rais Samia ukiendelea kuwalea hawa watu ipo siku wataanza migomo
Mambo mengine yaendeshe kwa mkono wa chuma, asiyetaka kazi aache fukuza kabisa hata kama ni watu laki moja waambie kabisa ataezingua nafukuza