Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Pale utakapoachishwa ndipo utaelewa kwamba kumbe ile laki 8 uliokuwa unainyofoa nyofoa kwenye ATM za NMB kuanzia tarehe 25 kila mwezi sio hela ya kitoto kuitengeneza mwenyewe ukiwa mtaani 😂😂😂.Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ni hatari na nusu
Wanaong'ang'ania slip za laki 5 tu hawaelezeki. Af mtu anachukulia kazi easy. Kazi inakuletea marafiki, heshima na kuthaminiwa na jamii ila siku ukiwa huna hio kazi unaamkia kijiwe cha kahawa ndio utajua hujui.