Pale utakapoachishwa ndipo utaelewa kwamba kumbe ile laki 8 uliokuwa unainyofoa nyofoa kwenye ATM za NMB kuanzia tarehe 25 kila mwezi sio hela ya kitoto kuitengeneza mwenyewe ukiwa mtaani ๐๐๐.Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ni hatari na nusu
Mtu analipwa laki saba anaona ndogo wakati kuna watu kuitafuta elfu tu ni kasheshe nakazia tu heshima kazi mjini HapaPale utakapoachishwa ndipo utaelewa kwamba kumbe ile laki 8 uliokuwa unainyofoa nyofoa kwenye ATM za NMB kuanzia tarehe 25 kila mwezi sio hela ya kitoto kuitengeneza mwenyewe ukiwa mtaani ๐๐๐.
Wanaong'ang'ania slip za laki 5 tu hawaelezeki. Af mtu anachukulia kazi easy. Kazi inakuletea marafiki, heshima na kuthaminiwa na jamii ila siku ukiwa huna hio kazi unaamkia kijiwe cha kahawa ndio utajua hujui.
Kuumiza akili hadi ikutolee million kwa mwezi kama huna support ya mtaji ambao sio limited sio kitoto. Kuna mtu ukimtoa kazini unaenda kumuua na stress mtaani hamalizi miaka hata 3 mshazika๐๐๐Mtu analipwa laki saba anaona ndogo wakati kuna watu kuitafuta elfu tu ni kasheshe nakazia tu heshima kazi mjini Hapa
Ila hii nchi ngumu sana. Unaombea kuongozwa kwa mkono wa chuma kisa unakaa kwa shemeji ukiamka asubuhi mkate upo kwenye hotpot.
Subiri ukue utajua maisha ni nini
Una uhakika tulikuwa hatulalamiki? Au siyo nyinyi mliokuwa mkituita sisi ni wapiga dili na wenye vyeti feki? Tatizo mnajenga upuuzi wa aina fulani hivi wa kutaka kusifiwa na kutukuzwa hata katika mambo ya kawaida kabisa.Kuna wakati unafika tunammis JPM
kuoitia hili sakata la TUCTA na serikali hqpa nimemkumbuka sana JPM, sometime udikteta unasaidia Miaka sita watu hawajaongezwa mishahara lakini hawakuongea kitu walikaa kimya kabisa kama hakuna lililotokea.
Samia kawainua wa kima cha chini kwa 70K na wengine kawaongeza ongeza lakini wanamuona hafai TUCTA wanajifanya kuipa serikali muda kwani kipindi kile walikua wapi?
JPM alikua na maamuzi magumu alikua na uwezo wa kufukuza hata wafanyakazi laki moja na msimfanye kitu, Sasa natahadharisha Rais Samia ukiendelea kuwalea hawa watu ipo siku wataanza migomo
Mambo mengine yaendeshe kwa mkono wa chuma, asiyetaka kazi aache fukuza kabisa hata kama ni watu laki moja waambie kabisa ataezingua nafukuza
Kuna wakati unafika tunammis JPM