Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Siku kuwa RC pekee mtu yoyote Tanzania anaweza kuwa RaisHivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in leadership.
Nimekubaliana na mwamafalsafa mmoja kwamba "If you excel in class you are likely to excel in so many things and vice versa is true"