Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Siku kuwa RC pekee mtu yoyote Tanzania anaweza kuwa RaisHivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in leadership.
Nimekubaliana na mwamafalsafa mmoja kwamba "If you excel in class you are likely to excel in so many things and vice versa is true"
Mifumo imeoza kabisaSiyo mkuu wa mkoa tu.mtu yeyote anaweza kuwa rais hata kichaa.wewe angalia tu rais Samia anavyopuyanga.kila kitu kauza na kufanya matamasha ya ajabuajabu tu.mfano royal tour hakuna chochote tulichonufaika nacho,anuani za makazi Hadi wa kina nape nauye wakawa wanapaa angani na ndege za jeshi kuchezea Kodi zetu lakini hakuna faida tuliyopata na Kwa Sasa Tena anatembea na msafara wa magari usiopungua miambili Kwa Kodi zetu.yaani huyu hakustahili kabisa kurithishwa sema tu Kwa kuwa katiba ilitungwa na wabunge vichaa ambao wamepelekea kupata kiongozi kichaa kama huyu.
Siyo jpm ni samia. Nyerere alianza, kikwete akaendeleza, mkapa akaendeleza, jpm akaendeleza, samiakamaliza. Na ikumbukwe jpm alijenga kwa asilimia 32 tu pesa ikakata. Samia alikuwa na kila sababu ya kuutelekekeza mradi na kuanzisha vya kwake kama angependa masifa kama jpm alivyotelekeza mradi wa ujenzi wa bandari bagamoyo kisa ni wa jk akaanzisha vya kwakeMagufuli ndio amekutoa kwenye mgao wa umeme sasa unaweza kuchaji kisimu chako uje kumkashifu mtandaoni.
Mavi wewe! Aliyempa SSH urais ni nani kama sio JPM? Ataanzaje kukataa kuendekeza miradi ya mwamba? Chezea wewe!Siyo jpm ni samia. Nyerere alianza, kikwete akaendeleza, mkapa akaendeleza, jpm akaendeleza, samiakamaliza. Na ikumbukwe jpm alijenga kwa asilimia 32 tu pesa ikakata. Samia alikuwa na kila sababu ya kuutelekekeza mradi na kuanzisha vya kwake kama angependa masifa kama jpm alivyotelekeza mradi wa ujenzi wa bandari bagamoyo kisa ni wa jk akaanzisha vya kwake
Aliyempa ni ccm siyo jpm.Mavi wewe! Aliyempa SSH urais ni nani kama sio JPM? Ataanzaje kukataa kuendekeza miradi ya mwamba? Chezea wewe!
Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in leadership.
Nimekubaliana na mwamafalsafa mmoja kwamba "If you excel in class you are likely to excel in so many things and vice versa is tr
Uishi miaka mingi sana chiefCha ajabu, mnaojiona wajanja sana, hamjawahi kuwa hata wajumbe wa nyumba kumi.
Umekuja mjini lini!? Au wewe ndo wale wenye Umoja sana kwenye Ushoga na Ufisadi?Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in leadership.
Nimekubaliana na mwamafalsafa mmoja kwamba "If you excel in class you are likely to excel in so many things and vice versa is true"
HataHivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in leadership.
Nimekubaliana na mwamafalsafa mmoja kwamba "If you excel in class you are likely to excel in so many things and vice versa is true"
ππππHata chizi magufuli aliweza kutuongoza MAAJABU zaidi ni mwaka wa 3 Toka anekufa lakini anawafuasi kibao hata bashite anao wafuasi kibao
Asante kwa kumpa cheo chakeππΌHata chizi magufuli
Niko mjini 20 years sasaUmekuja mjini lini!? Au wewe ndo wale wenye Umoja sana kwenye Ushoga na Ufisadi?
Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in leadership.
Nimekubaliana na mwamafalsafa mmoja kwamba "If you excel in class you are likely to excel in so many things and vice versa is true"
Labda kama unaongea kinyume cha ukweli utaeleweka, lakiniki uhalisia Makonda ni mbunifu na mchapa kazi asiyehitaji MACHAWA kumtangaza kama wengine, kazi zake nzuri zinaonekana hata kwa Vipofu.Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in leadership.
Nimekubaliana na mwamafalsafa mmoja kwamba "If you excel in class you are likely to excel in so many things and vice versa is true"
Kazi zipi. Taja hata moja iliyofanikiwaLabda kama unaongea kinyume cha ukweli utaeleweka, lakiniki uhalisia Makonda ni mbunifu na mchapa kazi asiyehitaji MACHAWA kumtangaza kama wengine, kazi zake nzuri zinaonekana hata kwa Vipofu.
Kweli kabisa walioteua Makonda wanafanana nae, hovyo!Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.