Hii nchi kuna Watumishi wa Umma wanakula raha nyie

Wanalipwa shin ngapi?Asije akawa anakudanganya tu.
 
Kisukari, Shinikizo La Damu, Gauti, Uzito Mkubwa,
Hachomoi Nasema, Acha Tuone!!!
 
Sehemu gani?
 
Mwanzo wa KUWANGIANA
 
Acha wanga mkuu, philosophy sio kuwafanya Malaika waishi kama mashetani Bali ni kuwafanya mashetani nao waishi kama Malaika. Kwanini hujafikiria hiyo serikali makini ikiingia madarakani isiongeze posho kwa watumishi ambao hawana posho? Baada ya jiwe kukick the bucket, mama alituanzishia kaposho ka house allowance sie baadhi ya watumishi natamani na wengine wapate.
 
Ubinafsi mkubwa wa waafrika ndounaotuweka hapa tulipo. Kukishakuwa na usawa sikuzote vita hakuna. Hakuna usawa nchi hii kwakuwa rasilimali zinaelekea upande mmoja na kuacha upande mwingine mtupu Kabisa watu masikini wakiteseka. Hizo fedha zanyongeza zinazolipwa zikusanywe zikazibe gap za masikini na sehemu yauhitaji huduma muhimu za jamii.
 
Wanalipwa shin ngapi?Asije akawa anakudanganya tu.
Hakuniambia kuwa kikao kimoja sh.ngapi but aliniambia tu kuwa faza wake anakaa vikao 3 kwa siku na vyote analipwa. Mtoto na baba wote ni watumishi wa TPA.
Nilimuuliza kuhusu maslahi zake za mshahara na posho akaniambia , maslahi ya mzazi wake sikumuuliza
 
Mhhh Hilo vikao vya posho mar Tatu Kwa siku mhhhh ... Hiyo ni taarabu shtuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…