polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Kwa sasa tuna uhaba mkubwa sana wa watu wenye maono na fikra, wengi waliopo kwa sasa kizazi hiki ni wale ambao hawaijui kuwaza ya kesho na hawana maono ya kesho.
Wao wanaiwaza leo tu na mawazo yanaishia hapo na ndio maana hakuna kitu kipo katika mpangilio mzuri wa baadae kila jambo linafanyika ni kwa leo tu.
Hili ni tatizo kubwa katika jamii yetu ya watanganyika.