Hii Nchi Wajinga wengi. Haya ndiyo maoni ya Dira ya Maendeleo 2050

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
7,683
Reaction score
15,128
Kwakweli serikali ndo maana inabweteka haipati presha maana wananchi wengi ni vihiyo.

Hebu angalia maoni haya ya wananchi.😁😁😁😁

20240831_164013.jpg
20240831_164011.jpg
20240831_164009.jpg
20240831_164007.jpg
 
Potential ya zanzibar na huku ni tofauti . Hwana mbuga , madini , gesi wanasikia tu yaani kila kitu hawana kilimo ndio kabisa kama utalii kwao uko fresh muda wote .

Wengine wazee hata 2050 kwa maisha yao hawafiki .
 
Sidhan its abiut potential, elimu of how mambo yanakwendaje huko duniani hawana, focus zao ni kwenye minor things only.

Hawalioni taifa lao 10 years from now
 
Potential ya zanzibar na huku ni tofauti . Hwana mbuga , madini , gesi wanasikia tu yaani kila kitu hawana kilimo ndio kabisa kama utalii kwao uko fresh muda wote .

Wengine wazee hata 2050 kwa maisha yao hawafiki .
Hakuna excuse katika hili mkuu,hao watu wametawaliwa na ujinga sana angalau wakija huku wanabadilika. Watanganyika kun ujinga ila hao wamezidi.
 
Back
Top Bottom