Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We angalia dini yao ni ipi, utaoata jibu. Nilishawahi kusema hapa, muislam hata akiwa professor, reasoni yake na ya mtu aliyeishia la nne huwezi kuwatofautish
Naunga mkono hoja'Nchi hupata viongozi inayowastahili' kwa hiyo kwa yanayoendelea nchini shida iko kwa wananchi wenyewe
TZ ujinga ndo Elimu.Kwakweli serikali ndo maana inabweteka haipati presha maana wananchi wengi ni vihiyo.
Hebu angalia maoni haya ya wananchi.😁😁😁😁
View attachment 3083599View attachment 3083600View attachment 3083601View attachment 3083602
Huwa nashangaa sana watu wakitaka viongozi great thinkers. Watoke wapi sasa kama jamii imejaa watu hopeless'Nchi hupata viongozi inayowastahili' kwa hiyo kwa yanayoendelea nchini shida iko kwa wananchi wenyewe
Sure mkuu , Watu hawapendi ukweli ila hili taifa bado safari ni ndefu mno.Huwa nashangaa sana watu wakitaka viongozi great thinkers. Watoke wapi sasa kama jamii imejaa watu hopeless
Kbs mkuu..Kabisa ili iendelee kutawala.
Watapinga hili lakini ndo ukweliWe angalia dini yao ni ipi, utaoata jibu. Nilishawahi kusema hapa, muislam hata akiwa professor, reasoni yake na ya mtu aliyeishia la nne huwezi kuwatofautisha.
kwa Magufuli tuliokota dodo chini ya mbuyu, ile bahati tuliichezea, haiji kwa urais bahati kama ile.., tutegemee magalasa ya aina za Mwinyi, JK na …Huwa nashangaa sana watu wakitaka viongozi great thinkers. Watoke wapi sasa kama jamii imejaa watu hopeless
Halafu ni vinyonyaji kama nini, Tanganyika kwa sasa tunaumizwa sana na hao kupe wala urojo…, wanataka umeme usikatike ila hawataki kutulipa bili za umeme, hiyo ni nini sasa?!Hawa ndio wananchi wa Tanzania kutokea Zanzibar. Kumtawala mtu anayependa starehe kama hawa ndugu zetu ni simple sana.