Hii Nchi Wajinga wengi. Haya ndiyo maoni ya Dira ya Maendeleo 2050

Ingekuwa Cuba wangesema tunaomba mkongo uongezwe makali watu wapige ata bao kumi 😁
 
We angalia dini yao ni ipi, utaoata jibu. Nilishawahi kusema hapa, muislam hata akiwa professor, reasoni yake na ya mtu aliyeishia la nne huwezi kuwatofautisha.
Acha dharau na dini za wengine kwani CCM ametawala miaka yote nchi hii wakristo hawapo au
 
We angalia dini yao ni ipi, utaoata jibu. Nilishawahi kusema hapa, muislam hata akiwa professor, reasoni yake na ya mtu aliyeishia la nne huwezi kuwatofautisha.
Tatizo la wa kuristo ndo hila kujiona mna akili kupita waislamu, wakati watanzania ni wale wale akili zao zote ni sawa. Chuki zenu dhidi ya waislamu ndo shida.
 
Why unadhihaki dini ya mwengine hujui tunaishi kwa kutegemeana kwa hiyo islamic wote akili zao zimeleft ?
 
Tatizo la wa kuristo ndo hila kujuana mna akili kupita waislamu, wakati watanzania ni wale wale akili zao zote ni sawa. Chuki zenu dhidi ya waislamu ndo shida.
Tunaishi nao wakorinto huku mtaani wajinga na wapumbavu mpaka basi
 
Tunaishi nao wakorinto huku mtaani wajinga na wapumbavu mpaka basi
Mtaa gani hiyo mkuu, watanzania wote hufanana akili kasoro waislamu wachache wanao jitambua na kujua dini yao.
 
Hii ndio legacy aliyoacha Nyerere. Imebaki kuwa mtaji mkubwa wa CCM. Ndio maana kina Tulia hawana wasiwasi wanajua Tz imejaa majinga
Aah kaka inakuwaje Nyerere tena?
Mzee wa watu katuachia nchi bora yenye mshikamano leo unamlaumu?

Ni sawa umlaumu mzazi wako kwa kuwaachia mali ambazo mnashindwa kuzisimamia.
Nyerere aliacha Nchi ikiwa salama.
Elimu ilikuwa bora
Afya ilikuwa bora
Leo vyote hivyo havipo, bado unamlaumu Nyerere?
Ni km wapumbavu fulani wanaotuaminisha Magufuli ndio aliyeyaleta haya maujinga anayofanya Samia.
Tuache uzuzu. Nyerere mwenyewe wakati yupo hai alisema tuchukue mazuri yake mabaya tuyaache. Sisi leo tumechukua mabaya mazuri tumeyaacha.
 
Kaka upate muda wa kujifunza kuhusu dark side ya Nyerere, badala ya kujua upande wa mazuri tu na hayo yaliyojaa propaganda.

 
Acha dharau na dini za wengine kwani CCM ametawala miaka yote nchi hii wakristo hawapo au
Hiyo dini inabrainwash watu na kuwafanya mataahira.., we tafuta professor muislam, weka na mtu mzima mkristo aliyeishia la tatu, anza kuwahoji kuwapima IQ yao, hakika utashangaa.

Huyo professor anaweza kuanza kusema kwamba mtoto wa miaka 12 aolewe, na atatoa arguement za kijinga kabisa, hadi unashangaa, kapataje huo uprofessor?!
 
wakweli serikali ndo maana inabweteka haipati presha maana wananchi wengi ni vihiyo.
Wasomi wa Bongo ni mabingwa wa Kubeza wenzao....ukiwemo mleta mada....

1.Mtu ana uhitaji wa Umeme mpaka 2050 uwake,ni jambo la kumbeza hapo ama...
  • Serikali itafute vyanzo vya umeme
  • Isimamie maslahi ya wafanyakazi aa Tanesco
  • Miundombinu ya umeme ilindwe
 
Mimi ni muislamu lakini ninachojua nimewazidi wafarisayo wengi IQ ikiwemo ww
 
Angesema hivi "umeme usikatike maana ni muhimu kuliko kusema usikatike hadi 2050" hao wengine wanadai Ijumaa na wengine ving'amuzi viwe bure unaona wako sawa? . Halafu mimi ningekua na uwezo hii nchi kwasababu bado inajifuta serikali ofisi zake zingefanya kazi masaa 24 siku zote 7. Wafanyakazi tu ndo wangabedilishana.
 
kwenye screenshot za mleta mada hiyo hoja ya umeme tu ndo labda kazingua ila hizo zilizobaki hazina impact kubwa sana. (aliyesema ijumaa iwe holiday angesimamia hapo tu na kuweka nukta. lakini kuiteua jmosi ikae nafasi ya ijumaa ni kuanzisha balaa jipya kwa wasabato
 
Huko hawana kitu kichwani wamekariri aya za kiarabu utumwa wa kifikra,wanawaza urojo na kufuga madevu tu
 
Kila mtu anahaki ya kutoa maoni na kila mtu ana haki ya kuchagua. Lakini siyo kila mtu ana uwezo wa kutoa maoni ya maana, hali kadhalika siyo kila mtu ana uwezo wa kupiga kura hasa zile za kuwapata viongozi wa kisiasa.
 
Ni vitisho vya ccm, ndivyo watuvanavyoogopa mabakamabaka wanadhani labda ikitokea hivyo kila kitu kitasimama kumbe sio hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…