Shida yako Nini?Hivi karibuni UAE imekuwa ni nchi iliyojizolea umarufu kwenye mijadala ya nchi za Africa
Hao jamaa wanataka nini ?
Mwarabu wa Tandale roho inauma ndugu zako wakisemwaShida yako Nini?
Au uarabu wao?
Wana pesa za wanajipanga kwa miaka mingi ya baadaye mbeleni watakapokuwa hawana mafuta na gesi tena, ndio maana wananua rasilimali na biashara mbalimbali kwa fujo kote duniani, wakikuta nchi ina mifumo na taasisi dhaifu kiutawala, yenye viongozi mafisadi wasio Wazalendo inakuwa nafuu na kicheko zaidi kwao.Hivi karibuni UAE imekuwa ni nchi iliyojizolea umarufu kwenye mijadala ya nchi za Africa
Hao jamaa wanataka nini ?
What about Brussels, Belgium?siyo afrika tu, dubai ni crime capital of world, umafia wote duniani unaanzia dubai, criminals woote wamejificha huko wakituma mashambulizi kwa walengwq wao …
Thank you! Jamaa udini na ubaguzi umemjaa tu. Maana kama sio hilo basi angeliuliza kwa nini kila kukicha wafaransa wanzidi kujenga kambi katika nchi za afrika tena wala sio nchi ambazo waliwahi kutawala? hawezi kuuliza hilo kwa sababu hafuatilii international affairs isipokuwa anasikiliza kasumba za vibarazani tu.Shida yako Nini?
Au uarabu wao?
Uliwahi kuuliza suali hilo hilo juu ya wachina na wafaransa?Hivi karibuni UAE imekuwa ni nchi iliyojizolea umarufu kwenye mijadala ya nchi za Africa
Hao jamaa wanataka nini ?
Wafaransa ni Wakoloni na wanyonyaji wa zamani, Wachina na Waarabu ni wanyonyaji wapya.Uliwahi kuuliza suali hilo hilo juu ya wachina na wafaransa?
Udini gani huo mkuuThank you! Jamaa udini na ubaguzi umemjaa tu. Maana kama sio hilo basi angeliuliza kwa nini kila kukicha wafaransa wanzidi kujenga kambi katika nchi za afrika tena wala sio nchi ambazo waliwahi kutawala? hawezi kuuliza hilo kwa sababu hafuatilii international affairs isipokuwa anasikiliza kasumba za vibarazani tu.
What about Brussels, Belgium?
Brussels ni jiji la Manyangau(spies) Kwa sababu nchi za ulaya hufanyia maamuzi yake makubwa pale.Hivyo kila mtu ameweka sikio.What about Brussels, Belgium?
Brussels ya zamani ya King Leopold au ya sasa hivi?What about Brussels, Belgium?
I hope aloanzisha uzi huu atasoma comment yako. Maana aim yake ilikuwa ni kulenga udini na ukabila tu! its ok kwake kuwa wafaransa, wachina waingereza wanaivamia afrika kila siku, lakini mwarabu NO!!!!Wafaransa ni Wakoloni na wanyonyaji wa zamani, Wachina na Waarabu ni wanyonyaji wapya.
Kwa mujibu wako kiongozi au siyo, au niseme kwa mtazamo wako Dubai ni crime capital of the world .. ? Toa Evidence tano juu ya hili , Tangible one Mkuu Kiongozisiyo afrika tu, dubai ni crime capital of world, umafia wote duniani unaanzia dubai, criminals woote wamejificha huko wakituma mashambulizi kwa walengwq wao …
Na wafaransa waliovamia kijiji kimoja huko Nigeria majuzi tu na kuua wakaazi wote mleta huu uzi alisema lolote lile hapa? Huo ndio udini.Udini gani huo mkuu
UAE wanahusishwa na vita ya Sudan, nchi iliyojaa waislam, hapo udini utoke wapi ?
Kuna tofauti kubwa ya wakoloni wazungu na wakoloni wa sasa Wachina na Waarabu,I hope aloanzisha uzi huu atasoma comment yako. Maana aim yake ilikuwa ni kulenga udini na ukabila tu! its ok kwake kuwa wafaransa, wachina waingereza wanaivamia afrika kila siku, lakini mwarabu NO!!!!