Unaona jinsi ulivyo punguani? Hamas ni freedom fighters,wanaotetea haki za watu wao,kwa kuwekwa Gaza kama an open prison na kufungiwa kila kitu kwa miaka mingi sana,mzungu akisha waaminisha nyie kua fulani ni gaidi,basi mnaunga tela tu bila kutafakari,
Wapumbavu kama wewe hua wanafikiri matatizo ya Israel na Wapalestina yalianza wakati wa ule uvamizi wa juzi,ule uvamizi wa hivi karibuni ni baada ya Wapalestina kuukataa unyonge,
Hamas ni wanaume hawakubali unyonge wala kulia lia mitandaoni,
Hamas ifutwe na nani? Huyo Yahudi wenu amehangaika miaka miwili,pamoja na kupewa silaha na US na kusaidiwa na westeners ila Hamas bado ipo,hata mateka walishindwa kuwapata,sasa wewe unayeishi kwa Dada yako ndio useme Hamas ifutwe? Ifutwe na nani? Nenda wewe ukaifute.