Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,182
- 9,586
Ukijifanya mtamu sana unaliwa...
Wewe mjane ningeshangaa sana kama usingekuja hapa na kuelekeza chuki zako kama kawaida yako, eti "Kuna mahala nimeona" hiyo "Mahala" ndio reliable source yako? Weka hapa reliable evidence kua UAE wamehusika na mauaji ya Tz,Kuna mahali nimeona raia hasa wa kutoka nchi za ulaya wanapanga kuboycot biashara zozote zile ambazo zina uhusiano na UAE kwanzia mashirika yao ya ndege kama Fly Emirate,Etihad,Dubai Airways n.k, makampuni yao ya kuuza na kusambaza mafuta, na hata clubs za michezo ambazo zinafadhiliwa na mashirika yao kama Arsenal,Benfica,Real madrid,Olympic Lyon n.k
Katika huo mjadala walioongelea pia na mauaji yaliyofanyika hapa kwetu kuwa UAE ndio wamehusika kama ambavyo wanahusika kule Suda kuwadhili kundi la RSF.
Yaan ule ushenzi uliokuwa unafanywa na mataifa kama France,UK na US ya kudestabilize mataifa ya dunia ya tatu yenye rasilimali lukuki sasa hivi ndio unafanywa na hawa wapumbav wa UAE sema hawafanyi kwa akili wao wanamwaga mahela tu.
Kitu unachopswa kufahamu ni kwamba kwa Wagalatia wengi kwao wazungu kukosolewa au kupingwa sio sawa na Ukristo kukosolewa, Wagalatia hawawanasibishi wazungu na Ukristo kama vile ambavyo Wavaa kobasi wengi wa bongo wanawanasibisha Waarabu na uislamu kupelekea maslahi ya Waarabu yanapopingwa kudhani ni uislamu ndio unapingwa. Nyerere alikuwa Mgalatia na alikuwa akiiunga mkono Palestina dhidi ya Israel.Katika hizo nyuzi hujawahi kuona wagalatia wanamsema vibaya Traore na kua upande wa wakoloni?
Hayo mawazo ni yenu wagalatia,ndio maana wakisemwa Wayahudi hua mnatokwa povu kumbe uyahudi wala haukubaliani na ukristo,mfano mzuri ni mleta mada,akisha ona Uarabu tayari anajua ni Uislamu,hajui hata kua kuna waarabu ambao sio waislamu,wagalatia ndio mna chuki zakijinga.Kitu unachopswa kufahamu ni kwamba kwa Wagalatia wengi wazungu kukosolewa au kupingwa sio sawa na Ukristo kukosolewa, Wagalatia hawawanasibishi wazungu na Ukristo kama vile ambavyo Wavaa kobasi wengi wa bongo wanawanasibisha Waarabu na uislamu kupelekea maslahi ya Waarabu yanapopingwa kudhani ni uislamu ndio unapingwa. Nyerere alikuwa Mgalatia na alikuwa akiiunga mkono Palestina dhidi ya Israel.
Yani nyinyi mnataka watu wakifanya makosa wasisemwe eti kwa kuwa ni waislamu?Thank you! Jamaa udini na ubaguzi umemjaa tu. Maana kama sio hilo basi angeliuliza kwa nini kila kukicha wafaransa wanzidi kujenga kambi katika nchi za afrika tena wala sio nchi ambazo waliwahi kutawala? hawezi kuuliza hilo kwa sababu hafuatilii international affairs isipokuwa anasikiliza kasumba za vibarazani tu.
Angalau wewe unaijua Dubai.siyo afrika tu, dubai ni crime capital of world, umafia wote duniani unaanzia dubai, criminals woote wamejificha huko wakituma mashambulizi kwa walengwq wao …
Ukizungumzia Dubai, unazungumzia Wazungu katika kivuli cha Waarabu.Kuna mahali nimesema Wazungu wakiwemo Waingereza hawahusiki kupora rasilimali Afrika?
Mimi nimekubali wazungu wamehusika kupora rasilimali Africa lakini nikakuonyesha angalau baadhi ya vitu vya maana tulivyovipata kutoka kwao, na wewe unapaswa ukubali kwamba Wachina na Waarabu ni waporaji walioibukia kwa kasi kupora rasilimali Africa( Hata hivyo Waarabu ni kama wanarudi tu kujiimarisha tena maana walikuwepo hapa kuanzia karne ya 7 mpaka ya 19 wakifanya biashara ya utumwa na kuvuna pembe za tembo na faru. Walikuwa pia wanatawala hapo Zanzibar mpaka mwaka 1964.
Dubai in Waarabu, wazungu wachache matajiri na wasomi wanawasaidia tu kuchora ramani pia wanaficha pesa zao huko kwa sababu ya kodi kubwa na sheria ngumu za kifedha Magharibi.Ukizungumzia Dubai, unazungumzia Wazungu katika kivuli cha Waarabu.
Dogo huwa wanawashwa sana ukiona comments zangu, sijui kila ukikutana na comments zangu huwa unakuwa kwenye siku zako!?Wewe mjane ningeshangaa sana kama usingekuja hapa na kuelekeza chuki zako kama kawaida yako, eti "Kuna mahala nimeona" hiyo "Mahala" ndio reliable source yako? Weka hapa reliable evidence kua UAE wamehusika na mauaji ya Tz,
Au ndio umesha toka kuchomwa Sindano na Mange kisha na wewe ukaja kuyamwaga hapa bila hata kutafakari?
Acha tu! Utajiri wa Waingereza unachipukia pale. Nikuulize, ulishawahi kuishi Dubai?Dubai in Waarabu, wazungu wachache matajiri na wasomi wanawasaidia tu kuchora ramani pia wanaficha pesa zao huko kwa sababu ya kodi kubwa Magharibi.
Kutokea zamani hadi sasa.Brussels ya zamani ya King Leopold au ya sasa hivi?
Wewe punguani hii ni JF hili sio lile grp lenu la machoko,huwezi kuleta habari hapa eti "Nimeona sehemu" mtu mwenye akili timamu hawezi kuleta habari ya "Nimeona sehemu" habari lazima iwe na reliable source,Dogo huwa wanawashwa sana ukiona comments zangu, sijui kila ukikutana na comments zangu huwa unakuwa kwenye siku zako!?
Halafu huwa hauishi kuonesha ungumbaru wako, ni wapi mimi nimesema hizo taarifa nimetoa kwenye reliable sources na wakati ni comments tu za watu tu huko Quora walikuwa wanachangia? Kwamba hata neno "mahala" hujui linatumika kwenye muktadha upi? Ndio maana nikakwambia urudi shule.
Halafu kuhusu kuwa na chuki, angalia ni akina nani waliocomment kwa mihemko kwenye hii mada hapa, kabla hujaanza kubwata bwata kama shekh aliyelishwa supu ya Nguruwe.
Mkuu kuhusu mzungu kuchota mali Africa kila siku hiko ni kilio. Humu tu Jf kuna mamia ya nyuzi yanayohusu huu ukoloni mamboleoPoint yako hapa ni ipi hasa? Hayo maelezo yako unafikiri mimi siyajui hayo?
Point yangu ni kwamba mzungu anachota mali Africa from ever since ila hatusikii hii milio kama ya mleta mada,ni sawa na issue ya bandari,kuna watu walikua hata hawajui Bandari ilikua inaendeshwa na nani na kwa miaka mingapi,ila ujio wa DP World tukaanza kusikia kila milio,
Mleta mada anasumbuliwa na Islamophobia japo amejaribu kukwepa ila hilo lipo wazi kabisa.
Mkuu wafaransa wamefanya mauaji Nigeria? Au unamaanisha nchini Mali?ndugu amka, nani aliwasiadia biafra katika civil war ya nigeria 1967 - 1970? PLease fuatilia international news, mimi sijazungumzia mauaji ya boko haram, nazungumzia mauaji ya hivi karibuni yaliyofanywa na wafaransa na kuripotiwa kwenye international news outlets duniani kote. taarifa mabazo wafaransa wenyewe wameshindwa kukanusha.
Mkuu kasahau kuwa awamu iliyopita nchi nzima tulikua tunaimbishwa kuhusu mabeberu wawekezaji wanatunyonya, wanatuibia. Hata moja ya ajenda ya Samia alipoingia ni kurudisha mahusiano aliyosema yamepotea.Hujawahi kuona nyuzi za hapa jukwaani wakiwasema vibaya nchi za wazungu??
Hujawahi kuona hata uzi mmoja wakimshangilia Traore kuwafukuza Wafaransa Burkinafaso??
Hujawahi kuona nyuzi za malalamiko jinsi gani Tanzania hainufaiki ipasavyo na uchimbaji madini wa kampuni za kizungu?
Hujawahi kuona nyuzi za watu kumuunga mkono jiwe aliposema gesi ya kusini sio yetu ni ya wazungu?!
Mkuu kwa nini unahisi akikosolewa mwarabu anakosolewa sababu ya udini? Kwa nini usihisi anakosolewa kama bile tu watu wanavyokosoa unyonyaji uliopo kwenye gesi na makampuni ya kibepari?Na wafaransa waliovamia kijiji kimoja huko Nigeria majuzi tu na kuua wakaazi wote mleta huu uzi alisema lolote lile hapa? Huo ndio udini.
Wewe punguani hii ni JF hili sio lile grp lenu la machoko,huwezi kuleta habari hapa eti "Nimeona sehemu" mtu mwenye akili timamu hawezi kuleta habari ya "Nimeona sehemu" habari lazima iwe na reliable source,
Kuna muda unatakiwa ufiche upumbavu wako kwa kukaa kimya ili usijulikane kama wewe ni mpumbavu usiye na akili timamu.
Huyu ni mdini anayefanya projection tu.Mkuu kasahau kuwa awamu iliyopita nchi nzima tulikua tunaimbishwa kuhusu mabeberu wawekezaji wanatunyonya, wanatuibia. Hata moja ya ajenda ya Samia alipoingia ni kurudisha mahusiano aliyosema yamepotea.
Mkuu hayo matusi ni too much. Ungeweza kukaa kimyaNaona nyenge zinakusumbua msenge wewe, nenda kakalie mboo ya mwalimu wako wa madrassa anakusubiri Nguruwe pori wewe.
Huna uwezo wa kunipangia niwasilishe vipi mawazo yangu kwenye mada yoyote humu jamiiforum.
Hakuna guildelines au formality ya aina yoyote ile ya eti mtu kuchangia mada kuwa ni lazima uwe ukiandika jambo fulani lazima liwe la uhakika na wala sio rumourse au mawazo ya mtu mwingine.
Aliyeleta hii mada mwenye kaileta katika mazingira ya kidadisi baada ya kuona hawa miungu wenu waarabu(kwa nyie waislamu) wanaongelewa in a very nagative way hasa kuhusiana kwao na nchi baadhi za Afrika..
...na mimi nikaona nichangie kuonesha kuwa hayuko peke yake kwenye hiyo sintofahamu aliyonayo kuhusu waarabu(Miungu wako) wapo wengi tu na wegine mpaka wanafikiria kususia biashara zao.
Lengo langu hasa hata sio kusambaza chuki kama akili yako inavyokutuma, bali ni kuongeza curiousity kwa huyu mleta mada au mtu mwingine mwenye uelewa mpana na mambo ya geopolitics atuletee nondo za uhakika
Ila kwa sababu wewe ni first class schemiel ambaye ubongo wako umejaa mashudu ya madrassa pekee tu sitegemei kuona ukielewa chochote.