Kwa mujibu wako kiongozi au siyo, au niseme kwa mtazamo wako Dubai ni crime capital of the world .. ? Toa Evidence tano juu ya hili , Tangible one Mkuu Kiongozi
Wafaransa na Nigeria wapi na wapi mkuu, hawana hata uhusika kwenye ukoloni wa Nigeria.Na wafaransa waliovamia kijiji kimoja huko Nigeria majuzi tu na kuua wakaazi wote mleta huu uzi alisema lolote lile hapa? Huo ndio udini.
Dubai is the hub of money laundering in the world.Kwa mujibu wako kiongozi au siyo, au niseme kwa mtazamo wako Dubai ni crime capital of the world .. ? Toa Evidence tano juu ya hili , Tangible one Mkuu Kiongozi
Hapana haujajibu kibusara bali kwa hisia ya kidini. Somo linahusu UAE na wewe kwa akili ndogo unaongelea Ufaransa wakati haihusiki na mada basi fungua uzi maalum kuihusu Ufaransa.Thank you! Jamaa udini na ubaguzi umemjaa tu. Maana kama sio hilo basi angeliuliza kwa nini kila kukicha wafaransa wanzidi kujenga kambi katika nchi za afrika tena wala sio nchi ambazo waliwahi kutawala? hawezi kuuliza hilo kwa sababu hafuatilii international affairs isipokuwa anasikiliza kasumba za vibarazani tu.
ndugu amka, nani aliwasiadia biafra katika civil war ya nigeria 1967 - 1970? PLease fuatilia international news, mimi sijazungumzia mauaji ya boko haram, nazungumzia mauaji ya hivi karibuni yaliyofanywa na wafaransa na kuripotiwa kwenye international news outlets duniani kote. taarifa mabazo wafaransa wenyewe wameshindwa kukanusha.Wafaransa na Nigeria wapi na wapi mkuu, hawana hata uhusika kwenye ukoloni wa Nigeria.
Mauaji ya Nigeria yanafanywa na Bokko Haram, wamo hadi ndani y jeshi la Nigeria, wanaua wanaeshi wenzao au kuwafanyia figisu wakiona wanaua sana ndugu zao
No, ukisoma between the line ya muanzishaji wa mada hii, lengo lake kuu ni hilo la udini, full stop.Hapana haujajibu kibusara bali kwa hisia ya kidini. Somo linahusu UAE na wewe kwa akili ndogo unaongelea Ufaransa wakati haihusiki na mada basi fungua uzi maalum kuihusu Ufaransa.
Aliyeleta ujamaa uliotaifisha rasilimali za nchi ni Nyerere aliyerejesha ubepari ni Mwinyi, Magufuli alipambana na kampuni za wazungu za madini, za mafuta, ardhi na utalii tofauti na awamu hii au ya JK.Wazungu wanakomba mali za Afrika toka hata kabla nchi hazijapata uhuru,wanakomba madini mpaka leo,kule Mwadui wanachimba Almasi toka nchi haijapata uhuru mpaka leo,ila hilo huwezi kuuliza,Dhahabu wanazichota kila leo.
I take hujui ni kiasi gani cha rasilimali ambazo muingereza tu peke yake amezipora afrika kwa ujumla na bado anaendelea kupora inderectly katika nchi mbali mbali za afrika.Kuna tofauti kubwa ya wakoloni wazungu na wakoloni wa sasa Wachina na Waarabu,
Wazungu pamoja na mabaya yao angalau walituletea shule, vyuo, hospitali, reli, mazao mbalimbali na wakatuachia mfumo wa kujitawala wa jamuhuri na demokrasia tuliouharibu baadaye. Wachina na Waarabu ni wanyonyaji wa rasilimali wakituambukiza udini na uimla zaidi.
Kuna mahali nimesema Wazungu wakiwemo Waingereza hawahusiki kupora rasilimali Afrika?I take hujui ni kiasi gani cha rasilimali ambazo muingereza tu peke yake amezipora afrika kwa ujumla na bado anaendelea kupora inderectly katika nchi mbali mbali za afrika.
Point yako hapa ni ipi hasa? Hayo maelezo yako unafikiri mimi siyajui hayo?Aliyeleta ujamaa uliotaitisha rasilimali za nchi ni Nyerere aliyerejesha ubepari ni Mwinyi, Magufuli alipambana na kampuni za wazungu za madini, za mafuta, ardhi na utalii tofauti na awamu hii au ya JK.
Harakati za uhuru zilikuwa kumuondoa mzungu akaenda kujipanga akarudi kivingine, sijui unataka milio gani zaidi ya vita vya uhuru walivyopigana Waafrika huko Zimbabwe, Angola, Msumbiji, SA n.k!Point yako hapa ni ipi hasa? Hayo maelezo yako unafikiri mimi siyajui hayo?
Point yangu ni kwamba mzungu anachota mali Africa from ever since ila hatusikii hii milio kama ya mleta mada,ni sawa na issue ya bandari,kuna watu walikua hata hawajui Bandari ilikua inaendeshwa na nani na kwa miaka mingapi,ila ujio wa DP World tukaanza kusikia kila milio,
Mleta mada anasumbuliwa na Islamophobia japo amejaribu kukwepa ila hilo lipo wazi kabisa.
Hakuna haja ya kuandikia mate kama wino upo, Hakuna taarifa yoyote ya Wafaransa kuua Wanigeria.ndugu amka, nani aliwasiadia biafra katika civil war ya nigeria 1967 - 1970? PLease fuatilia international news, mimi sijazungumzia mauaji ya boko haram, nazungumzia mauaji ya hivi karibuni yaliyofanywa na wafaransa na kuripotiwa kwenye international news outlets duniani kote. taarifa mabazo wafaransa wenyewe wameshindwa kukanusha.
Ufaransa wana historical ties na Afrika toka wakati wa ukoloni hivyo inajulikana wazi kwamba wana maslahi yao Afrika tofauti na UAE ambao hawana mafungamano kama hayo.No, ukisoma between the line ya muanzishaji wa mada hii, lengo lake kuu ni hilo la udini, full stop.
Unaonekana hata hujui nini kinachojadiliwa hapa,Harakati za uhuru zilikuwa kumuondoa mzungu akaenda kujipanga akarudi kivingine, sijui unataka milio gani zaidi ya vita vya uhuru walivyopigana Waafrika huko Zimbabwe, Angola, Msumbiji, SA n.k!
Una uwezo mdogo sana wa ku analyze hali ilivyo unakimbilia mambo ya dini, Huko Sudan wanakofadhili vita, nchi iliyojaa waislam risasi zinachagua dini ?Point yako hapa ni ipi hasa? Hayo maelezo yako unafikiri mimi siyajui hayo?
Point yangu ni kwamba mzungu anachota mali Africa from ever since ila hatusikii hii milio kama ya mleta mada,ni sawa na issue ya bandari,kuna watu walikua hata hawajui Bandari ilikua inaendeshwa na nani na kwa miaka mingapi,ila ujio wa DP World tukaanza kusikia kila milio,
Mleta mada anasumbuliwa na Islamophobia japo amejaribu kukwepa ila hilo lipo wazi kabisa.
Hujawahi kuona nyuzi za hapa jukwaani wakiwasema vibaya nchi za wazungu??Unaonekana hata hujui nini kinachojadiliwa hapa,
Kule Mwadui mzungu anapochimba Almasi kabla hata ya uhuru,ni lini aliondoka kuchimba almasi?
Kwahiyo umekubali kua mzungu alijipanga kisha akarudi kivingine,sasa mbona issue ikihusu mzungu hatusikii hii milio kama ya mleta mada?
Katika hizo nyuzi hujawahi kuona wagalatia wanamsema vibaya Traore na kua upande wa wakoloni?Hujawahi kuona nyuzi za hapa jukwaani wakiwasema vibaya nchi za wazungu??
Hujawahi kuona hata uzi mmoja wakimshangilia Traore kuwafukuza Wafaransa Burkinafaso??
Ufaransa wana historical ties na Afrika toka wakati wa ukoloni hivyo inajulikana wazi kwamba wana maslahi yao Afrika tofauti na UAE ambao hawana mafungamano kama hayo.
Hivyo basi UAE kuingia Afrika ghafla na kuunga mkono vikundi kama RSF vinavyopigana vita dhidi ya serikali ya Sudan ni jambo linalonyanyua watu kope.