Hii nchi ya UAE ina ajenda gani na nchi za Africa, kila kukicha ni wao, nini wanataka ?

Wewe mjane ningeshangaa sana kama usingekuja hapa na kuelekeza chuki zako kama kawaida yako, eti "Kuna mahala nimeona" hiyo "Mahala" ndio reliable source yako? Weka hapa reliable evidence kua UAE wamehusika na mauaji ya Tz,

Au ndio umesha toka kuchomwa Sindano na Mange kisha na wewe ukaja kuyamwaga hapa bila hata kutafakari?
 
Katika hizo nyuzi hujawahi kuona wagalatia wanamsema vibaya Traore na kua upande wa wakoloni?
Kitu unachopswa kufahamu ni kwamba kwa Wagalatia wengi kwao wazungu kukosolewa au kupingwa sio sawa na Ukristo kukosolewa, Wagalatia hawawanasibishi wazungu na Ukristo kama vile ambavyo Wavaa kobasi wengi wa bongo wanawanasibisha Waarabu na uislamu kupelekea maslahi ya Waarabu yanapopingwa kudhani ni uislamu ndio unapingwa. Nyerere alikuwa Mgalatia na alikuwa akiiunga mkono Palestina dhidi ya Israel.
 
Hayo mawazo ni yenu wagalatia,ndio maana wakisemwa Wayahudi hua mnatokwa povu kumbe uyahudi wala haukubaliani na ukristo,mfano mzuri ni mleta mada,akisha ona Uarabu tayari anajua ni Uislamu,hajui hata kua kuna waarabu ambao sio waislamu,wagalatia ndio mna chuki zakijinga.
 
Yani nyinyi mnataka watu wakifanya makosa wasisemwe eti kwa kuwa ni waislamu?
 
siyo afrika tu, dubai ni crime capital of world, umafia wote duniani unaanzia dubai, criminals woote wamejificha huko wakituma mashambulizi kwa walengwq wao …
Angalau wewe unaijua Dubai.
 
Ukizungumzia Dubai, unazungumzia Wazungu katika kivuli cha Waarabu.
 
Ukizungumzia Dubai, unazungumzia Wazungu katika kivuli cha Waarabu.
Dubai in Waarabu, wazungu wachache matajiri na wasomi wanawasaidia tu kuchora ramani pia wanaficha pesa zao huko kwa sababu ya kodi kubwa na sheria ngumu za kifedha Magharibi.
 
Dogo huwa wanawashwa sana ukiona comments zangu, sijui kila ukikutana na comments zangu huwa unakuwa kwenye siku zako!?

Halafu huwa hauishi kuonesha ungumbaru wako, ni wapi mimi nimesema hizo taarifa nimetoa kwenye reliable sources na wakati ni comments tu za watu tu huko Quora walikuwa wanachangia? Kwamba hata neno "mahala" hujui linatumika kwenye muktadha upi? Ndio maana nikakwambia urudi shule.

Halafu kuhusu kuwa na chuki, angalia ni akina nani waliocomment kwa mihemko kwenye hii mada hapa, kabla hujaanza kubwata bwata kama shekh aliyelishwa supu ya Nguruwe.
 
Dubai in Waarabu, wazungu wachache matajiri na wasomi wanawasaidia tu kuchora ramani pia wanaficha pesa zao huko kwa sababu ya kodi kubwa Magharibi.
Acha tu! Utajiri wa Waingereza unachipukia pale. Nikuulize, ulishawahi kuishi Dubai?
 
Wewe punguani hii ni JF hili sio lile grp lenu la machoko,huwezi kuleta habari hapa eti "Nimeona sehemu" mtu mwenye akili timamu hawezi kuleta habari ya "Nimeona sehemu" habari lazima iwe na reliable source,

Kuna muda unatakiwa ufiche upumbavu wako kwa kukaa kimya ili usijulikane kama wewe ni mpumbavu usiye na akili timamu.
 
Mkuu kuhusu mzungu kuchota mali Africa kila siku hiko ni kilio. Humu tu Jf kuna mamia ya nyuzi yanayohusu huu ukoloni mamboleo
Awamu iliyopita tu si ndio tulikua nchi nzima wanaimbishwa wimbo wa mabeberu? Ccm wote walikua na kazi ya kutukana mabeberu

Hata wakati wa mkapa na jk hao wazungu kila leo walikua wakisemwa kuhusu unyonyaji wanaofanya kwenye madini, gesi n.k chadema ilipata umaarufu sababu ya kuibua ajenda kubwa ya mikataba ya madini na gesi ya hao mabeberu

Unaposema husikii milio kuhusu wazungu si kweli.
 
Mkuu wafaransa wamefanya mauaji Nigeria? Au unamaanisha nchini Mali?
 
Mkuu kasahau kuwa awamu iliyopita nchi nzima tulikua tunaimbishwa kuhusu mabeberu wawekezaji wanatunyonya, wanatuibia. Hata moja ya ajenda ya Samia alipoingia ni kurudisha mahusiano aliyosema yamepotea.
 
Na wafaransa waliovamia kijiji kimoja huko Nigeria majuzi tu na kuua wakaazi wote mleta huu uzi alisema lolote lile hapa? Huo ndio udini.
Mkuu kwa nini unahisi akikosolewa mwarabu anakosolewa sababu ya udini? Kwa nini usihisi anakosolewa kama bile tu watu wanavyokosoa unyonyaji uliopo kwenye gesi na makampuni ya kibepari?
Au kwa nini usihisi ni ukosoaji kama inavyokosolewa uwekezaji wa makampuni ya kibepari kwenye madini?
 

Naona nyenge zinakusumbua msenge wewe, nenda kakalie mboo ya mwalimu wako wa madrassa anakusubiri Nguruwe pori wewe.

Huna uwezo wa kunipangia niwasilishe vipi mawazo yangu kwenye mada yoyote humu jamiiforum.

Hakuna guildelines au formality ya aina yoyote ile ya eti mtu kuchangia mada kuwa ni lazima uwe ukiandika jambo fulani lazima liwe la uhakika na wala sio rumourse au mawazo ya mtu mwingine.

Aliyeleta hii mada mwenye kaileta katika mazingira ya kidadisi baada ya kuona hawa miungu wenu waarabu(kwa nyie waislamu) wanaongelewa in a very nagative way hasa kuhusiana kwao na nchi baadhi za Afrika..

...na mimi nikaona nichangie kuonesha kuwa hayuko peke yake kwenye hiyo sintofahamu aliyonayo kuhusu waarabu(Miungu wako) wapo wengi tu na wegine mpaka wanafikiria kususia biashara zao.

Lengo langu hasa hata sio kusambaza chuki kama akili yako inavyokutuma, bali ni kuongeza curiousity kwa huyu mleta mada au mtu mwingine mwenye uelewa mpana na mambo ya geopolitics atuletee nondo za uhakika

Ila kwa sababu wewe ni first class schemiel ambaye ubongo wako umejaa mashudu ya madrassa pekee tu sitegemei kuona ukielewa chochote.
 
Mkuu kasahau kuwa awamu iliyopita nchi nzima tulikua tunaimbishwa kuhusu mabeberu wawekezaji wanatunyonya, wanatuibia. Hata moja ya ajenda ya Samia alipoingia ni kurudisha mahusiano aliyosema yamepotea.
Huyu ni mdini anayefanya projection tu.
 
Mkuu hayo matusi ni too much. Ungeweza kukaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…