BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Wote wamefika chuo kikuu na wanaijua vizuri hesabu ya Pythagoras
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hata wewe ? nenda kituo cha police jiran yako waambie Dan Pol kasema nije kuna ujumbe wanguHahahaa. Lakini cha ajabu kwenye hizo nyuzi za aina hiyo watu ndio wanajaa mbaya kuonyesha kwamba hizo kamba ndio burudani kwao
Asilimia kubwa niliokutana nao mm kwaajili ya story 2 tatu kwenye mikoa tofauti tofauti ni hohehahe....na hawajielewi....sifa nyiingi wakati hamna lolote na inaonekana wanatafuta kulelewa....... Kasoro m1 tu ndo alikua anajitambua na anajiweza.....na makusudi yote niliyofanya lakini bado alilipa Bill [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]na anajijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu utakuua mkuuHabari za sasa wana JF MMU.
Nikiri kuwa ukifatilia stori za hapa na pale zinazopostiwa humu JFs utagundua kuwa wanaume wa humu wengi wamejaaliwa, wananemeka, wanabahati, wana mazali ya kufa mtu. Kwanza wanaume wa humu wana sifa zifuatazo
1. Wote ni mahandsome
2. Wote wana pesa, magari, majumba mazuri na mageto ya maana.
3. Kila mwanaume humu ana demu/mke mkali, mzuri, mrembo, mwenye shepu nzuri, sura kama malaika.
4. Wanaume wa humu hawanyanyaswi wala kusumbuliwa na wanawake.
5. Wengi hawatongozi ila wanatongozwa kutokana na mvuto walio nao wa sura au
Pesa.
6. Wengi wameshatembea na wanawake kuanzia 10 hadi 300. Hii ni baraka, zali la mentali.
7. Hawahongi.
stori nyingi za humu hazifanani na uhalisia huku kwenye jamii tunakoishi. Mademu wapo lakini siyo kama inavyooneshwa na kurahisishwa humu. Kuna mtu atakwambia amevuta mademu wote wa halmashauri fulani au wa ofisi fulani utadhani yeye ni mwanaume peke yake na wanawake wanamwangalia yeye tu. Wanaume tuache maigizo ya kujimwambafy inatupunguzia heshima sio sifa. Uongo haumusaidii kitu. Tutoe mastori ya kupendeza na kufurahisha lakini yawe na uhalisia.
Hata aliyelala guest bububu pale Buguruni za elfu 10 basi akija humu anasema alilala na demu mkali hotel fulani maarufu hapa Dar.
Hahahaaaa leo nimewaumbuaaa!!! Kama mbwai iwe mbwai tu.
Ww nae huyu ni chombo ss[emoji23] mm sijampa.maksi maana titi la surgery hiliYan KANTE HANA MWANAMKE, ila BAKARY ana chuma moja matata sana inaitwa Ludivine Sagna, Kwa research yangu nlofanya wanawake wengi wanapenda vijamaa vihendsam kuuza navyo sura ila linapokuja swala la kufanya maisha they go to the ugly ones manake hao ndio the real bread winners, na wanahustle kweli kweliView attachment 1404947
View attachment 1404948
HIYO NDIO CHOMBO YA BAKARY SAGNA [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bila shaka wewe ni Chombo zaidi yakeWw nae huyu ni chombo ss[emoji23] mm sijampa.maksi maana titi la surgery hili
Haha
Hahhaaa hii inafundishwa toka darasa la sita pythagoras theorem kwenye ku-Calculate eneo la pembe tatuWote wamefika chuo kikuu na wanaijua vizuri hesabu ya Pythagoras
Hapana mm nikama wale wadada wanaosemwa jf wanasura za baba
You NAILED it DOWN so very HARD😆😀
Huwa wanasemwa!??Hapana mm nikama wale wadada wanaosemwa jf wanasura za baba
Wengi humu wana sura kama ngolo kante na sagna niamini
[emoji23][emoji23][emoji23]nisamehe aisee
[emoji23][emoji23]bakiza maneneo ya baadaeHuwa wanasemwa!??
Anyhow (Kama ni sura ya Baba bado ni kisu tu...)
I bet mzee wako ni kati ya wale mahandsome wa zamani (Boga huzaa Boga n Vice versa is True...)
Sent using Jamii Forums mobile app