Hii ndio aina ya wanaume wengi wa JF MMU, wanaune mko vizuri mno

Hii ndio aina ya wanaume wengi wa JF MMU, wanaune mko vizuri mno

Mbona wapo wengi tu wasiojimwambafy?. wapo hadi walionyimwa mke kwa kukosa gali, wapo waliokula tunda kimasihara toka kwa mademu wakali hadi wakajishangaa.
 
Habari za sasa wana JF MMU.

Nikiri kuwa ukifatilia stori za hapa na pale zinazopostiwa humu JFs utagundua kuwa wanaume wa humu wengi wamejaaliwa, wananemeka, wanabahati, wana mazali ya kufa mtu. Kwanza wanaume wa humu wana sifa zifuatazo

1. Wote ni mahandsome
2. Wote wana pesa, magari, majumba mazuri na mageto ya maana.
3. Kila mwanaume humu ana demu/mke mkali, mzuri, mrembo, mwenye shepu nzuri, sura kama malaika.
4. Wanaume wa humu hawanyanyaswi wala kusumbuliwa na wanawake.

5. Wengi hawatongozi ila wanatongozwa kutokana na mvuto walio nao wa sura au
Pesa.

6. Wengi wameshatembea na wanawake kuanzia 10 hadi 300. Hii ni baraka, zali la mentali.

7. Hawahongi.

stori nyingi za humu hazifanani na uhalisia huku kwenye jamii tunakoishi. Mademu wapo lakini siyo kama inavyooneshwa na kurahisishwa humu. Kuna mtu atakwambia amevuta mademu wote wa halmashauri fulani au wa ofisi fulani utadhani yeye ni mwanaume peke yake na wanawake wanamwangalia yeye tu. Wanaume tuache maigizo ya kujimwambafy inatupunguzia heshima sio sifa. Uongo haumusaidii kitu. Tutoe mastori ya kupendeza na kufurahisha lakini yawe na uhalisia.

Hata aliyelala guest bububu pale Buguruni za elfu 10 basi akija humu anasema alilala na demu mkali hotel fulani maarufu hapa Dar.

Hahahaaaa leo nimewaumbuaaa!!! Kama mbwai iwe mbwai tu.
Mbona Mimi sipo hivyo aseee? mie mtu wa kawaida tuu sana, hata sio handsome wala sina chochote.
 
Asilimia kubwa niliokutana nao mm kwaajili ya story 2 tatu kwenye mikoa tofauti tofauti ni hohehahe....na hawajielewi....sifa nyiingi wakati hamna lolote na inaonekana wanatafuta kulelewa....... Kasoro m1 tu ndo alikua anajitambua na anajiweza.....na makusudi yote niliyofanya lakini bado alilipa Bill [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]na anajijua

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah!! Najaribu kuvaa viatu vya hao hohehahe na wasiojielewa hasa wakisoma hii comment. 🤔
 
Wengi humu wana sura kama ngolo kante na sagna niamini

Yan KANTE HANA MWANAMKE, ila BAKARY ana chuma moja matata sana inaitwa Ludivine Sagna, Kwa research yangu nlofanya wanawake wengi wanapenda vijamaa vihendsam kuuza navyo sura ila linapokuja swala la kufanya maisha they go to the ugly ones manake hao ndio the real bread winners, na wanahustle kweli kweli
IMG_0033.JPG

IMG_0034.JPG


HIYO NDIO CHOMBO YA BAKARY SAGNA [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom