father naona ume mmind kijanaSijamaanisha hivyo, usiniwekee Maneno, nimetoa mfano wa Matumizi ya Computer na Internet miaka ya 2000.
Sawa kijana? Maana yake watoto wa JF Mna mengi ya Kujifunza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
father naona ume mmind kijanaSijamaanisha hivyo, usiniwekee Maneno, nimetoa mfano wa Matumizi ya Computer na Internet miaka ya 2000.
Sawa kijana? Maana yake watoto wa JF Mna mengi ya Kujifunza.
Labda tuonane nithibitishe..tuhamie pm kwanza unipe maelekezoUliza wanaojua watakujibu mm nitakuchosha tu
[emoji54][emoji54][emoji54]
ha ha umezingua rafiki kwani nini msinge share cost mimi tukikutana for a meeting lazima to share costAsilimia kubwa niliokutana nao mm kwaajili ya story 2 tatu kwenye mikoa tofauti tofauti ni hohehahe....na hawajielewi....sifa nyiingi wakati hamna lolote na inaonekana wanatafuta kulelewa....... Kasoro m1 tu ndo alikua anajitambua na anajiweza.....na makusudi yote niliyofanya lakini bado alilipa Bill [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]na anajijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa. Lakini cha ajabu kwenye hizo nyuzi za aina hiyo watu ndio wanajaa mbaya kuonyesha kwamba hizo kamba ndio burudani kwao
ha ha kaka wewe ni mganga wa tiba mbadala na kwako panajulikana na bado wanakuja balaa sanaHeri yangu mimi nimejipambanua kazi yangu na ujuzi wangu na makazi yangu
Jr[emoji769]
Alikataa kabisa akasema hawezi kulipiwa na mdada.......na nilichafua meza haswaaa..... lakini wale wengine ulikua ukisema acha usijali....., asante inamtoka haraka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnisamehe bure jamanha ha umezingua rafiki kwani nini msinge share cost mimi tukikutana for a meeting lazima to share cost
kiungwana bill ikija unaisoma then unatoa misimbazi kadhaa inakujengea value kama mwanamkeAlikataa kabisa akasema hawezi kulipiwa na mdada.......na nilichafua meza haswaaa..... lakini wale wengine ulikua ukisema acha usijali....., asante inamtoka haraka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnisamehe bure jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaume ni lazima ulipe bills inakujengea heshimaAlikataa kabisa akasema hawezi kulipiwa na mdada.......na nilichafua meza haswaaa..... lakini wale wengine ulikua ukisema acha usijali....., asante inamtoka haraka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnisamehe bure jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unitoe Out...Alikataa kabisa akasema hawezi kulipiwa na mdada.......na nilichafua meza haswaaa..... lakini wale wengine ulikua ukisema acha usijali....., asante inamtoka haraka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnisamehe bure jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
na mnaagizaga stuff hata ambazo amlagi mara kwa mara,ngoja nikuchekesha kuna mmoja nilimualika mahali akafakamia mavyakula km ana njaa yote na masavana nashukuru siku hiyo nilikuwa mtamu alichemka mwenyewe ila ni vizuri ukitwa mahali uwe na balance yako pembeni lolote laweza kutokeaAlikataa kabisa akasema hawezi kulipiwa na mdada.......na nilichafua meza haswaaa..... lakini wale wengine ulikua ukisema acha usijali....., asante inamtoka haraka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnisamehe bure jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na kutoa misimbazi kadhaa nilitaka kuilipia yote..... mshkaji alikataa yan mpaka ikataka kua kama ugomvi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kati ya members kama 30 na kitu niliokutana nao...... At least alikua realkiungwana bill ikija unaisoma then unatoa misimbazi kadhaa inakujengea value kama mwanamke
sound good mwamba yuko real kama mm ha haAchana na kutoa misimbazi kadhaa nilitaka kuilipia yote..... mshkaji alikataa yan mpaka ikataka kua kama ugomvi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kati ya members kama 30 na kitu niliokutana nao...... At least alikua real
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wengine ulikua ukiagiza kitu yy anabaki kukutizama halafu unasikia akiagiza maji makubwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ukiuliza vip mbona maji anakwambia yuko vizur...... Jaman watu wa humu wanavituko sana yan sanaaana mnaagizaga stuff hata ambazo amlagi mara kwa mara,ngoja nikuchekesha kuna mmoja nilimualika mahali akafakamia mavyakula km ana njaa yote na masavana nashukuru siku hiyo nilikuwa mtamu alichemka mwenyewe ila ni vizuri ukitwa mahali uwe na balance yako pembeni lolote laweza kutokea
Hahahaa. Lakini cha ajabu kwenye hizo nyuzi za aina hiyo watu ndio wanajaa mbaya kuonyesha kwamba hizo kamba ndio burudani kwao
halafu katika umri wangu ambao ninao mwanaume kama mfukoni aupo vizuri usimtoe mtu utapata aibu,na wanawake wanasaikolojia kubwa sana kama hauko vizuri watakujua watu wanatakaga aibu za kujitakiaKuna wengine ulikua ukiagiza kitu yy anabaki kukutizama halafu unasikia akiagiza maji makubwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ukiuliza vip mbona maji anakwambia yuko vizur...... Jaman watu wa humu wanavituko sana yan sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
hujamuelewa, hiyo 2003 ametoa mfano tu soma vizuri kuna sehemu ameweka hii alama (,) hiyo alama humaanisha mwisho wa statement
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2]utajiri wangu tunguli... makazi yangu kilingeni Msata... Usafiri wangu..!? [emoji12][emoji848][emoji40]ha ha kaka wewe ni mganga wa tiba mbadala na kwako panajulikana na bado wanakuja balaa sana