Uchaguzi 2020 Hii ndio awamu iliyofeli kuliko awamu zote zilizopita

Huyu ni Rais anayependwa na wajinga na wapumbavu, ni Rais wa hovyo kabisa East Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
Lack of sense? Yaani kisa amedhibiti wala rushwa na wabadhirifu? Kisa anajenga Sgr,Daraja la wami na busisi? Kisa amenunua ndege kwa hela cash Dremliner na midege ya Airbus. Kajenga hospital ,vituo vya afya na zahanati lukuki. Mlitaka raisi gani? Au ndio upungufu wa akili!
 
Serikali inayopenda kesi za kijinga na kuhonga viongozi wa upinzani Kama malimbukeni
Haya yameshakuwa kama mapambio. Je jukwaani mtaongealea nini? Kwamba mnaweza kupewa dola? Na mkipewa mtajenga Sgr,Mradi kama JNHP, ubungo interchange Zahanati,Shule,mahospital n.k
Jiulizeni tu je mnaweza kuaminiwa na wananchi?
Mwenzeni miaka minne tu kaonyesha mambo makubwa.
 
Awamu iliyopita ilikuwa na uvundo mwingi
Magufuli anapambana usiku na mchana kuirudisha nchi kwenye mstari
Tuzidi kumuunga mkono
 
Amekwambia sekta binafisi imeanguka au wewe unaongelea sekta binafisi ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa tume isiyo huru ya sasa wapinzani wanaweza wasipate jimbo hata moja. Upo hapo ?
 
Serikali inabambikia wafanyabiashara kesi Leo watu wameondoa mitaji Yao imeshindwa kuiwezesha sekta binafsi Leo tenda utasikia jkt mara magereza hizo ajira zitakuja je kwenye sekta binafsi


Sent using Jamii Forums mobile app
'policy uncertainity' umenikumbusha korosha ambapapo baba na mama lishe walikosa pesa ,wabeba mizigo,wasafirishaji,wenye vyumba vya kulala wangine watajeni wote walikosa pesa
 
Hizo sekta binafsi kama zinamazingira magumu na wasi wasi, zitastawi vipi ziweze kuajiri?
 
Kwa tume isiyo huru ya sasa wapinzani wanaweza wasipate jimbo hata moja. Upo hapo ?
Kijana acha kukariri watu wanaangalia delivery of good results. Kwa mambo aliyoyafanya JPM na CCM yake kama chairman hata mlete refa gani mtapigwa tu. Japokuwa mnasingizia tume. Wakati hata hii ya sasa ipo huru na inafanya kazi kw mujibu wa katiba na sheria za nchi.
 
Sekta binafsi ndio katika awamu hii zimepoteana kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Which point are u trying to make ?
 
Sasa huyu unaye mtetea ndo anajigamba kuwa muumini wa sera mfu.sasa wewe unataka tusubir hadi hayo mabaya unayotusimulia yatupate au tumpige chini kwa kuwa nyota nje huonekana asubuhi
 
Siamini kuwa kunaweza kukatokea Rais incompetent, hopeless na useless kama Magufuli.
sasa shangaa poliice,tume na watanzania wengine wanavyompigania aongeze miaka 5,yaani sometime unashindwa elewa Kama hao watu ni binadamu au wanyama
 
Sasa huyu unaye mtetea ndo anajigamba kuwa muumini wa sera mfu.sasa wewe unataka tusubir hadi hayo mabaya unayotusimulia yatupate au tumpige chini kwa kuwa nyota nje huonekana asubuhi
Mkuu angalau kwa sasa unaweza kutoa maoni,enzi zetu haikuwa hivyo.Lakini shilling yetu haitelemki ipo ngangali kwa miaka mitano tofauti na huko nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…