Hahahahaaaa.....JIWE JUU YA JIWEAmepunguza wafanyakazi hewa akaleta maendeleo hewa.
We bado mtoto jomba haya usiyaingilie..huyawezi..unamezeshwa maneno na wewe Kama zuzu vile unaweka tu..umemaliza homework zako hizi za likizo ya corona..fanya kwanza hizo usije huku jukwaa la watu wazima hiliHalafu wafanya biashara wakubwa aidha wanauliwa kama akina Ally Mufuruki na Salum Shamte, au wanasumbuliwa na kunyang'anywa mali zao kama Mohamed Dewji na Yusuf Manji. Uchumi inakuwaje hapo?
Ahaaaa mkuu taratibuMiaka mitano ? Hebu ona aibu mtu kazi imeshamshinda.
Eti unasema wapinzani, wako wapi hao unaowasema..embu weka list yao hapa watu kumi tu kwa kuanzia tumjadili mmoja baada ya mwingine, Kama hujakimbia kwa aibu..rubbish...Kama wewe ni mwanamme kweli Kama sio mwanamke, weka hapa majina tuwachambue hao unaowaita wapinzani..msitukasirishe wengine tukatoa maneno machafu hapa na sikukuu hii ya PasakaKufeli kwake kulianza siku ya kwanza ambapo aliwekeza kuwachukia wapinzani wkt wapinzani ndio wamefanya makubwa na nchi kuonekana ya kiuwajibikaji........
Kilichofuata sio kujenga viwanda wala kuzalisha ajira au kusaidia wakulima au kuweka mazingira mazuri ya kibiashara nchini bali alianza kuharibu misingi yoye ya kuheshimu katiba na sheria, misingi ya kiuchumi ya kijamii ya kisiasa etc.....
A FAILED PRESIDENT.....
We ng'ombe mbona tayari umeshatoa maneno mchafu .......Muulize baba yako aliyewafungia kazi ndie anawajua zaidi nyie praise team hakuna mjuacho kuhusu hii nchi zaidi ya buku 7 mnazopewa lumumba.Eti unasema wapinzani, wako wapi hao unaowasema..embu weka list yao hapa watu kumi tu kwa kuanzia tumjadili mmoja baada ya mwingine, Kama hujakimbia kwa aibu..rubbish...Kama wewe ni mwanamme kweli Kama sio mwanamke, weka hapa majina tuwachambue hao unaowaita wapinzani..msitukasirishe wengine tukatoa maneno machafu hapa na sikukuu hii ya Pasaka
Eti unasema wapinzani, wako wapi hao unaowasema..embu weka list yao hapa watu kumi tu kwa kuanzia tumjadili mmoja baada ya mwingine, Kama hujakimbia kwa aibu..rubbish...Kama wewe ni mwanamme kweli Kama sio mwanamke, weka hapa majina tuwachambue hao unaowaita wapinzani..msitukasirishe wengine tukatoa maneno machafu hapa na sikukuu hii ya Pasaka
Ok so badala yake watapigia chama gani chadema, act, nccr, tadea na vyama vingine 15 zaidi.? Usione aibu kusema chama. Na chama utakachokitaja tuanze kukichambua kwa undani ..Mimi nitakupa uchambuzi wa kina kwanini umeingia choo Cha kike. Usione aibu narudia tenaUchaguzi ukiwa huru na haki hakuna kati ya wafuatao anaweza kupigia kura ccm....
1. WAKULIMA
2. WAFANYAKAZI
3.WAFANYA BIASHARA
4.WANAFUNZI WA VYUO
5.
6.
7
NOTE: Makundi hayo yote yameharibiwa na uongozi huu wa hovyo
Hahahaha jikite kwenye mada.jomba. tupe hayo majina ya mnaosema wapinzani majina kumi tu ikijumuisha wale mnaotarajia kuwasimamisha kugombea urais ili tuwachambue mmoja baada ya mwingine..narudia tena msione aibu kuwataja majina..kuweni huru tu jomba..safari hii mmekamatika hata ajenda mmeishiwa mmebaki na moja tu eti Tume huru,. Hajahahhahahajhahahha. RubbishWe ng'ombe mbona tayari umeshatoa maneno mchafu .......Muulize baba yako aliyewafungia kazi ndie anawajua zaidi nyie praise team hakuna mjuacho kuhusu hii nchi zaidi ya buku 7 mnazopewa lumumba.
Nchi za wenzetu serikalu zao zinawapa wananchi misaada ili kupambana na korona huku kwetu kwenye FAILED PRESIDENT tunachangishwa hela kinguvu kuipa serikaliEti unasema wapinzani, wako wapi hao unaowasema..embu weka list yao hapa watu kumi tu kwa kuanzia tumjadili mmoja baada ya mwingine, Kama hujakimbia kwa aibu..rubbish...Kama wewe ni mwanamme kweli Kama sio mwanamke, weka hapa majina tuwachambue hao unaowaita wapinzani..msitukasirishe wengine tukatoa maneno machafu hapa na sikukuu hii ya Pasaka
Eti serikali inawapa watu msaada..hahahah..nikikuuliza hapo tangu uzaliwe umeshawah lipa kodi kiasi gani serikalini huna jibu..umekaa kaa tuu kazi kuropoka Mambo hata usiyoyajua maskini..wee...eti failed presida...unachekesha..huyu ndio wananchi asilimia zaidi ya 90 tunamtaka atawake kwa miaka mingine 20 zaidi..nyinyi mlioshindwa maisha hameni nchi, maana biashara za wizi, udalali, dili hewa, ukwepaji Kodi hazipo tenaaa...nendeni Basi hata mkalime mahindi maeneo yapo tele yanasubiri watu Kama nyieNchi za wenzetu serikalu zao zinawapa wananchi misaada ili kupambana na korona huku kwetu kwenye FAILED PRESIDENT tunachangishwa hela kinguvu kuipa serikali
Alafu pimbi kama wewe unalipwa buku 7 tu.unatetea ujinga
Eti serikali inawapa watu msaada..hahahah..nikikuuliza hapo tangu uzaliwe umeshawah lipa kodi kiasi gani serikalini huna jibu..umekaa kaa tuu kazi kuropoka Mambo hata usiyoyajua maskini..wee...eti failed presida...unachekesha..huyu ndio wananchi asilimia zaidi ya 90 tunamtaka atawale kwa miaka mingine 20 zaidi..nyinyi mlioshindwa maisha hameni nchi, maana biashara za wizi, udalali, dili hewa, ukwepaji Kodi hazipo tenaaa...nendeni Basi hata mkalime mahindi maeneo yapo tele yanasubiri watu Kama nyieNchi za wenzetu serikalu zao zinawapa wananchi misaada ili kupambana na korona huku kwetu kwenye FAILED PRESIDENT tunachangishwa hela kinguvu kuipa serikali
Alafu pimbi kama wewe unalipwa buku 7 tu.unatetea ujinga
GAG anasema tra hawafikii malego ya ikusanyaji wa kodi , sababu biashara zilizokuwa zinalipa kodi zimekufa, biashara mpya mpaka ziweze kulipa kodi itachukua muda mrefuThat's rubbish..how many businesses have grown up during this period..plenty..how many new businesses have been erected..plenty..there's nothing like policy uncertainity. Many business owners have been avoiding Taxes, and thiss why they could not manage to be sustainable..we know the tricky behind and you know too..so stop this rubbish propaganda...
Acha utumwa wa vyama mkuu km wale wajinga walio na utumwa wa madhehebu.....watzOk so badala yake watapigia chama gani chadema, act, nccr, tadea na vyama vingine 15 zaidi.? Usione aibu kusema chama. Na chama utakachokitaja tuanze kukichambua kwa undani ..Mimi nitakupa uchambuzi wa kina kwanini umeingia choo Cha kike. Usione aibu narudia tena
Can you outline some of the business which grow up this timeThat's rubbish..how many businesses have grown up during this period..plenty..how many new businesses have been erected..plenty..there's nothing like policy uncertainity. Many business owners have been avoiding Taxes, and thiss why they could not manage to be sustainable..we know the tricky behind and you know too..so stop this rubbish propaganda...
Dogo niweke tin no yangu ukacheck na TRA uone sisi wazalendo wakweli tunavyolipa kodi,Eti serikali inawapa watu msaada..hahahah..nikikuuliza hapo tangu uzaliwe umeshawah lipa kodi kiasi gani serikalini huna jibu..umekaa kaa tuu kazi kuropoka Mambo hata usiyoyajua maskini..wee...eti failed presida...unachekesha..huyu ndio wananchi asilimia zaidi ya 90 tunamtaka atawake kwa miaka mingine 20 zaidi..nyinyi mlioshindwa maisha hameni nchi, maana biashara za wizi, udalali, dili hewa, ukwepaji Kodi hazipo tenaaa...nendeni Basi hata mkalime mahindi maeneo yapo tele yanasubiri watu Kama nyie
Eti serikali inawapa watu msaada..hahahah..nikikuuliza hapo tangu uzaliwe umeshawah lipa kodi kiasi gani serikalini huna jibu..umekaa kaa tuu kazi kuropoka Mambo hata usiyoyajua maskini..wee...eti failed presida...unachekesha..huyu ndio wananchi asilimia zaidi ya 90 tunamtaka atawale kwa miaka mingine 20 zaidi..nyinyi mlioshindwa maisha hameni nchi, maana biashara za wizi, udalali, dili hewa, ukwepaji Kodi hazipo tenaaa...nendeni Basi hata mkalime mahindi maeneo yapo tele yanasubiri watu Kama nyie
Mbona mnaogopa uchaguzi.....kwa nn na siasa mmekua mkifanya nyie miakan 5. Hivi ccm inaweza kua na hoja yoyote kwa mtz? Ufisadi hii awamu ni mafisadi kuliko zote zilizopita.....na mauchafu mengine km ununuzi wa ndege inabidi muyafiche kule kusikogusika.....Hahahaha jikite kwenye mada.jomba. tupe hayo majina ya mnaosema wapinzani majina kumi tu ikijumuisha wale mnaotarajia kuwasimamisha kugombea urais ili tuwachambue mmoja baada ya mwingine..narudia tena msione aibu kuwataja majina..kuweni huru tu jomba..safari hii mmekamatika hata ajenda mmeishiwa mmebaki na moja tu eti Tume huru,. Hajahahhahahajhahahha. Rubbish
So what..what's your point hereGAG anasema tra hawafikii malego ya ikusanyaji wa kodi , sababu biashara zilizokuwa zinalipa kodi zimekufa, biashara mpya mpaka ziweze kulipa kodi itachukua muda mrefu
Serikali chovu inawapigia magoti WB ili kupewa kamkopo kwa mashariti ya kukubali mimba mashuleni