Optimists
JF-Expert Member
- Oct 17, 2021
- 467
- 1,358
ukiwa na mtaji chini ya million 20 usijichanganye kwenye biashara za muonekano ambazo, taka, frame, TRA, manispaa, ulinzi n.k wote wanakuangalia wewe, na hii era tunayoenda nayo ndio basi tena,
Kwa miaka ya Sasa mtaji wa 5M -10M ukiikimbiza kwenye frame labda uwe na rare skills ambazo watu watazifata, but ukijichanganya chance ya majuto ni kubwa, FRAME ni laki tatu Kwa mwezi na mwenye duka anataka umlipe Kwa mwaka huoni hapo umeshashusha mtaji wako? Leo nakwambia Kwa upendo kijana mwenye kutaka kufanikiwa.
Nenda kariakoo pale, zunguka kwenye maduka wanzouza home appliances za bei rahisi, vijiko, sahani, vikombe, tochi, makufuli, waya za kusugulia masufuria, sabuni, chukua battery za simu, earphone changanya kadri uwezavyo, then beba mzigo wako angalia mnada ambao wewe utakuwa comfortable lakini Mimi narecomend minada ya usukumani au Dodoma hapo, zungusha mtaji kusanya Hela then ukiwa comfortable na uwezo wa kuchukua frame basi unafanya ivyo.
Wazo no 2.