6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 3,952
- 8,807
Vipi kwema wakongwe wenzangu?
Wakuu mimi ninachemshabongo yangu ambayo imenisumbua kwa muda mrefu, so nitafurahi na kushukuru sana kama nitapata mtu mwenye upeo wa kuijibu chemshabongo hiyo.
1. Kwanza naomba mtu aniwekee jina la band au msanii gani alieimba wimbo wa zamani unaoimbwa "mtu ni afya mwananchi elewa, tusiwe wavivu kuzijenga vyema afya zetu"? Kama ikiwezekana mtu kuweka link ya wimbo husika itakuwa ni vizuri zaidi.
2. Pili mtu aniwekee jina la band au msanii ambae ameimba wimbo mwingine wa zamani unaoitwa mama Jeni ambao unaimbwa "mama jeni mke wangu kwaheri mama, Mungu akulaze mahala pema peponi" kama kuna mtu ana link pia tutamshukuru akituwekea hapa.
3. Tatu mtu aniwekee jina la band au mtu alieimba wimbo wa wake wawili unaoimbwa "Nyote wake zangu mapenzi yenu kwangu ni sawa, mpendane ndio heshima ya ndoa" pia na hii ikipatikana link ya wimbo hapa tutashukuru sana.
Njooni mnisaidie kujibu chemshabongo hii kwa kuweka vile nilivyoandika hapo juu.