Ha!ha!ha! jamani mwenezi wa Magamba mtamuua na stress! Ila jamaa kaunga unga elimu yake haswa, hizo diploma za mafungu mafungu si mchezo.
Nape alipata division two (kwa mujibu wako ) kwa matokeo hayo ni lazima alichaguliwa govt school,je ni shule ipi ya boarding alichaguliwa na kikataa?
noo majimaji ni kwenye history civics ni tanzania ilipata uhuru lini,rais wa kwanza? Muungano, rangi za bebdera ya taifa n.khivi alishindwa hata kuelezea maji maji war kweli? Au kazi za bunge?
Umeruka vitu. Nape hakufanya vizuri Sekondari, akafanyaje ili kuondoa vizuizi vya kukosa credit za Form IV ........ mpaka akafikia Masters.
May be alifanya kama private candidate so kilikuwa ni kituo chake cha kufanyia mtihani...
"Wanasayansi wanasema akili ya mwanadamu hapa tanzania hupimwa kwa matokeo ya Form Four"
MNYIKA VS NAPE, FORM FOUR RESULTS
NAPE NNAUYE
DIV IV-29
KISW D, HIST D, GEOG D, ENG F, B/MATH F, BIOL D, CHEM D, PHY D, CIV F
JOHN MNYIKA
DIV I-7
PHY A, CHEM A, BIOL A, CIV A, ENGL A, GEOG A, HIST A, B/MATH A, KISW A, B/KNOW A
MY TAKE: MNYIKA NI GINIAZI
NAPE AJIENDELEZ
good reasoning.
Absolutely wrong! hata kama hiyo masters aliibaka?
Hujawahi kusikia maprofesa wananyang'anywa uprofesa
for similar reasons wewe.
butimba ttc wana A level?
Kuna kipindi unafika unawashangaa watu hapa Jamvini habari wanazotaka ni kusifia CHADEMA tu ukikosoa utapachikwa majina ya ajabu ajabu.Mleta mada kaomba CV za wabunge wa CHADEMA kama unajua unatuambia kama hujui unakaa kimya.
Mkuu wangu CV ya Godbless Lema ni ya hovyo kuliko nilivyofikiri mwanzo.Jamaa alishindwa kufaulu mtihani wa form II kuingia form III.Ana cheti cha lugha ya kiingereza miezi 3 KIMAHAMA mkabala na Golden Rose.Mkuu mambo mengine labda ajiendeleze baada ya kuwa mheshimiwa kazi hii namwachia kamanda PakaJimmy anaweza kumshauri.
Alirudia lini na wapi na alipata pass zipi?Nape aliweza kurudia baadhi ya masomo na kusafisha cheti ndipo vyuo husika vikampokea; tumpe pongezi kwa uthubutu wa kutokata tamaa
Wafuasi wa Chadema ni watu wa ajabu, wanapendana hadi wanachefua, badala ya kumshauri Mnyika akaongeze shule, wao wanazidi kumtia UJINGA kuwa Mnyika kasoma kuliko Nape. Huko ni kudharau mamlaka za vyuo husika (Kivukoni, Bangore - India na Mzumbe) ambazo zimemtunukia vyeti Ndugu Nape kutokana na kukidhi vigezo vya Diploma, B.A na M.A. Pia ni kudharau UDSM ambao mpaka hadi leo hawajampatia cheti cha Shahada, Ndugu Mnyika kwa vile maksi zake hazikutosha kumpa kofia ya uhitimu. NAPE yuko juu ya MNYIKA kielimu hiyo haina shaka
Hawajasema Mnyika kasoma zaidi ya Nape, wanasema Mnyika ana akili na busara zaidi ya Nape.Wafuasi wa Chadema ni watu wa ajabu, wanapendana hadi wanachefua, badala ya kumshauri Mnyika akaongeze shule, wao wanazidi kumtia UJINGA kuwa Mnyika kasoma kuliko Nape. Huko ni kudharau mamlaka za vyuo husika (Kivukoni, Bangore - India na Mzumbe) ambazo zimemtunukia vyeti Ndugu Nape kutokana na kukidhi vigezo vya Diploma, B.A na M.A. Pia ni kudharau UDSM ambao mpaka hadi leo hawajampatia cheti cha Shahada, Ndugu Mnyika kwa vile maksi zake hazikutosha kumpa kofia ya uhitimu. NAPE yuko juu ya MNYIKA kielimu hiyo haina shaka