Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

Hongera Nape kwa kuwaacha mbali KIELIMU viongozi waandamizi wa Chadema ambao ni: Mbowe (Form Six), Arfi (Standard Four), Mnyika (Form Six), Nyerere (Form Four), Mr 2 (Form Four)
 
Nina hakika Nape atakuwa anacheka tu akisoma hizi posts..

JF- stress free zone
 
Mh, napita tu maana naona vidato ni vingi kuliko alivyonavyo Kawambwa katika Wizara yake.
 

Hahahaaaa...Mkuu Ta Kamugisha,

Umenikumbusha Kahadithi haka huwa nataniana na jamaa zangu wa mitaa ya BK....Kwamba, Mzee Kamugisha alipojiwa na wageni mambo yalikuwa hivi....

Mgeni wa 1...Jina lako nani?...
Mgeni: naitwa Rweyemamu....
Kamugisha : Mama koku...Mupe Hainekeni
Mgeni wa pili: Na wewe?
Mgeni wa 2: Naitwa Laurenti Mushy
Kamugisha: Mama Koku...Huyu mpe Fwanta!!

 
Nampenda nape lakini kwa f ya civics sitomsamehe? why lakini?
 
Ha ha ha ha ha ha ha, una mat.usi classic lol

 
Wakuu,
Kuweni wakweli, ni CV gani watu wanaandika pass zao?

Pass zako unaweza kuulizwa kwenye interview ya kazi ingawaje nayo siku hizi sio muhimu na badala yake interviewer wanaangalia umefanya nini na sio uli score kiasi gani.
Swali linalozunguka tangu juzi ni Elimu ya Nape. Aliyejitokeza ameleta anayoiita CV ingawa si CV.

Watu wanauliza kwa sababu hapa kuna kupotoshwa. Nape hakupata credit hata moja Form IV na watu wanajaribu kuficha hili. Kuna watu wamesoma naye na wanathibitisha haya.

Suala ni ali qualify vipi na A level kama hizo credits za Form IV hakuwa nazo?
 

Nape Mnauye

Div IV-29
kisw d, hist d, geog d, eng f, b/math f, biol d, chem d, phy d, civ f


John Mnyika

div I -7
phy a, chem a, biol a, civ a, engl a, geog a, hist a, b/math a, kisw a, b/know a

is this real? If so, then comparing these two guys is a crime!!
 
oie!
mnyika o'level kapata A tisa, A'level kapata division 11, mbona nape anakwepa kuweka credit zake?

Hivi unaelewa maana ya credit au unakurupuka tu. Huyo Mnyika aliyejidai kupata A tisa O-level, aweke na credit alizopata A-level,na alivyochemsha chuo. Au na wewe unamtungia Mnyika jibu kama alivyojitungia swali na kulijibu.
 
Nape alipata division two (kwa mujibu wako ) kwa matokeo hayo ni lazima alichaguliwa govt school,je ni shule ipi ya boarding alichaguliwa na kikataa?
 
hata siku moja haijawahi kutokea matokeo ya sekondari katika CV. Wewe unapaswa kutambua Nape ana masters degree yatosha, wakati mwenezi wenu (Mnyika) ni form six

Absolutely wrong! hata kama hiyo masters aliibaka?
Hujawahi kusikia maprofesa wananyang'anywa uprofesa
for similar reasons wewe.
 
Mkuu,
Soma vizuri, hiyo ni Masters in Public Administration (MPA) na wala sio MBA kama ulivyoandika
Mkulima Masters of Public Administration inawaandaa wanafunzi kuwa nani kama siyo kusimamia shughuli za serikali na mashirika yake? Mtu mwenye hiyo MPA lakini amefanya dessertation ya mahudhurio ya wapiga kura siku ya uchaguzi tukimpa asimamie TTCL litatoboa?
 
Last edited by a moderator:
Hivi unaelewa maana ya credit au unakurupuka tu. Huyo Mnyika aliyejidai kupata A tisa O-level, aweke na credit alizopata A-level,na alivyochemsha chuo. Au na wewe unamtungia Mnyika jibu kama alivyojitungia swali na kulijibu.
huwa sibishani na watu wanaoandika kinyumenyume.
 
Mleta uzi TandaleOne
naona umesahau kuwa kuna tofauti kubwa kati ya mkojo na soda!!
Na mwisho utofautishe kati ya Cv na historia fupi ya elimu!
Au nimekosea wanajamvi?

Mkuu Mbavu zangu plz!unamaanisha Tandaleone ametuletea wasifu wa marehemu na cyo CV?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…