Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Kwa hiyo sisi tunaosema kuwa Nape alisoma Chuo kikuu alipendelewa na aliziba nafasi za waliofaulu akachukukliwa yeye aliyefeli,huku maskini wenye akili ila hawana mtetezi wakiachwa nyumbani tupo sahihi?hata siku moja haijawahi kutokea matokeo ya sekondari katika CV. Wewe unapaswa kutambua Nape ana masters degree yatosha, wakati mwenezi wenu (Mnyika) ni form six
HAPO KWENYE RED....BUTIMBA TTC SI CHUO CHA UALIMU JAMAN...AU TUSEME BUTIMBA TTC SECONDARY SCHOOL?..
kajipange upya urudi tena na kiwango cha ufaulu kwa kila level hasa hasa sekondari
Mkuu nokiatochi hii thread nayo inaonyesha uozo tu, diploma gani ya 1 year.naona kama hii thread imewekwa kututoa nje ya mada kuhusu uozo wa elimu. Turudi kwenye mada za kujenga,elimu yetu
Nape alipata division two (kwa mujibu wako ) kwa matokeo hayo ni lazima alichaguliwa govt school,je ni shule ipi ya boarding alichaguliwa na kikataa?
Hivi unaelewa maana ya credit au unakurupuka tu. Huyo Mnyika aliyejidai kupata A tisa O-level, aweke na credit alizopata A-level,na alivyochemsha chuo. Au na wewe unamtungia Mnyika jibu kama alivyojitungia swali na kulijibu.
BUTIMBA TTC ni chuo cha ualimu lakini ni center ya kufanyia mitihani kwa wanafunzi ambao hawako mashuleni.,na hili ni kwa sababu Mheshimiwa Nape hakuwa ameendelea na sekondari kwa mtindo wa Boarding School.,kwa kuwa hakupenda kuendelea kukaa boardingi hivyo aliyasoma masomo yake ya high level akiwa nyumbani na kisha kwenda chuoni hapo kufanya mtihani wa form six.
Fafanua kivipi? kwani John Mnyika alimaliza chuo?.Nape alipokuwa sekondari hakufanya vizuri; HATAHIVYO katika Masters Degree katoka vizuri.
KINYUME
Mnyika O-LEVEL kafanya vizuri; HATAHIVYO chuo kikuu kaangukia pua!
Umeruka vitu. Nape hakufanya vizuri Sekondari, akafanyaje ili kuondoa vizuizi vya kukosa credit za Form IV ........ mpaka akafikia Masters.Nape alipokuwa sekondari hakufanya vizuri; HATAHIVYO katika Masters Degree katoka vizuri.
KINYUME
Mnyika O-LEVEL kafanya vizuri; HATAHIVYO chuo kikuu kaangukia pua!
Mkuu Mbavu zangu plz!unamaanisha Tandaleone ametuletea wasifu wa marehemu na cyo CV?
Ok! niambie kiwango alichofikia Dhaifu mpaka kupewa Phd!.Yote kwa yote, elimu ya mtu HUPIMWA kwa kiwango cha mwisho alichofikia mlengwa;
Mnyika atabaki ana ELIMU YA SEKONDARI wakati Nape ni mhitimu wa Chuo Kikuu (Masters Degree) wana Chadema msipotoshwe uhalisia
- Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India ?????!!!
- Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe