BUTIMBA ni chuo cha ualimu,mm nimesoma hapo,kina shule ya mazoezi inayotoa elimu ya o-level,haijawahi kuwepo high school pale,mm nimesoma hapo,hiyo elimu ya A-level alifundishwa na nani huyo nape?,acha kutufanya mambulula,wadanganye magamba wenzako mwehu wewe.
uko sahihi mkuu mimi naifahamu sana Butimba TTC hakuna kitu kama hicho wanatundanganya na hapa ndio wanazidi kudhihirisha walivyo watupu kichwani