Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

naomba kuuliza tu hivi katika diploma huwa wanaadika THESIS???? au DISSERTATION?
cHUO CHA ualimu wana michepuo ya EGM?
kama alipata F FORM 4 aliwezaje kusoma huo mchepuo?
mtoa mada ili mada yako iweze kuwa na mshiko ambatanaisha TRANSCRIPT YA nape.

hapo mkuu kwa ccm utawaacha wakimbie hata magogoni
 
Nape hajawahi kusoma kidato cha tano na cha sita mahali popote. Angekuwa ameleta yeye mwenyewe hii CV na sio kumtuma jamaa wa Uwanja wa Fisi, ningemfungulia mashtaka ya kudanganya umma.

Hata kupata kwake nafasi pale chuo cha chama (Magamba) kivukoni ilikuwa ni hisani ya Mzee Yusuph Makamba ndio alimuombea wambebe mtoto wa rafiki yake
mkuu uko sahihi maana Nape anavyopenda sifa tangu thread yakwanza itolewe angekuwa nauhakika wa matokeo/ shule yake angekuwa ameshajitokeza na kujibu lakini kwa hapa anaonyesha hana kitu cha kutundanganya. maana huwezi soma chuo/shule yeyote ukose hata classmate lakini yeye inaonekana hana kwa hiyo alinunua vyeti vyake na hata india aseme alisoma chuo gani? ni rahisi kufuatilia tutafuatilia ili tujue kama kweli alisoma na alipata kweli degree
 
Siasa za nani alipata degree or not ,hazina mantiki kwa sasa kwani iko wazi CCM ina wasomi wengi na wenye uwezo mkubwa kuliko CHADEMA.
Upeo wa kisiasa na kitaaluma ni vitu viwili tofauti,mfano mzuri ni Dr.Kawambwa ni mtekelezaji wa objectives,hajui porojo za kisiasa ,hana sababu za kutafuta umaarufu kwenye media kama J.Mnyika na ZZK.
Miradi mingi katika wizara zote alizowahi kuongoza ameacha matunda mazuri .

Jambo la msingi,turudi kwenye maadili ya mtanzania,tuwaepushe watoto na starehe za mapema ili wawe makini ktk elimu.
Wanafunzi wengi wanatumia muda mwingi ktk starehe ndiyo maana wamefeli.
Mimi nimesoma chuo ambacho kiliweka sheria kali yakutotumia simu uwapo darasani,ukibainika ilikuwa unanyang'anywa nakupelekwa kwa Principal,wengi tulitii sheria hiyo na kuwa makini darasani.

Hiyo ni university level,lakini tulipokuwa Advance Level tulikuwa huru tukionyeshana umaarufu wa kuvaa nguo(pamba) na kuwa na mademu wengi,hakika matokeo yalikuwa ni mabaya sana licha ya wanafunzi wengi kuwa na uwezo mzuri darasani kwani nilibaini majority tuliingia tukiwa na Division One na Two lakini mambo yalikuwa kinyume kwenye Final(Wengi walipata Zero).

Facebook,Twitter,SMS kwenye SIMU na NGONO za utoto zimewafelisha watoto wetu,BUNGE liunde kamati na kuwasilisha muswaada utakao nasua akili za watoto wa kitanzania.
 
Wasomi wengi wa CCM ni mabwege tu!

Hawana la kutusaidia bali twahitajika 'kujisaidia' (usihusishe maliwato) wenyewe.Tuamke na kuwaondoa wadhalimu wa nchi hii.

Kwa matokeo ya kidato cha nne,serikali ililijua na kulitegemea hili.

Migogoro ya walimu,mazingira duni ya kusomea,hali duni ya maisha n.k wazi matokeo haya ni sahihi kabisa.

Mbinafsi hafanyi ubinafsi dhidi ya mawe au vitu visivyo na uhai bali hufanywa kwa walio kama yeye.Hivyo ndivyo viongozi wetu watufanyiavyo bila kujali athari za baadae.
 
Hivi ccm bado wapo????? mimi nilishasahau kama kuna ccm
 
Siasa za nani alipata degree or not ,hazina mantiki kwa sasa kwani iko wazi CCM ina wasomi wengi na wenye uwezo mkubwa kuliko CHADEMA.
Upeo wa kisiasa na kitaaluma ni vitu viwili tofauti,mfano mzuri ni Dr.Kawambwa ni mtekelezaji wa objectives,hajui porojo za kisiasa ,hana sababu za kutafuta umaarufu kwenye media kama J.Mnyika na ZZK.
Miradi mingi katika wizara zote alizowahi kuongoza ameacha matunda mazuri .

Jambo la msingi,turudi kwenye maadili ya mtanzania,tuwaepushe watoto na starehe za mapema ili wawe makini ktk elimu.
Wanafunzi wengi wanatumia muda mwingi ktk starehe ndiyo maana wamefeli.
Mimi nimesoma chuo ambacho kiliweka sheria kali yakutotumia simu uwapo darasani,ukibainika ilikuwa unanyang'anywa nakupelekwa kwa Principal,wengi tulitii sheria hiyo na kuwa makini darasani.

Hiyo ni university level,lakini tulipokuwa Advance Level tulikuwa huru tukionyeshana umaarufu wa kuvaa nguo(pamba) na kuwa na mademu wengi,hakika matokeo yalikuwa ni mabaya sana licha ya wanafunzi wengi kuwa na uwezo mzuri darasani kwani nilibaini majority tuliingia tukiwa na Division One na Two lakini mambo yalikuwa kinyume kwenye Final(Wengi walipata Zero).

Facebook,Twitter,SMS kwenye SIMU na NGONO za utoto zimewafelisha watoto wetu,BUNGE liunde kamati na kuwasilisha muswaada utakao nasua akili za watoto wa kitanzania.
Matunda MAZURI zaidi ameleta mwaka huu wa 2013 baada ya wanafunzi 240,900 kupata division zero a.k.a sifuri a.k.a wamezungusha a.k.a four years for fighting to fail a.k.a wametaga mayai.

Suala la kuwa CCM wamedumaza maendeleo ya nchi hii kwenye kila nyanja halina ubishi kwa kuwa nchi ni maskini ya kutupwa. Ndio nchi inayoongoza duniani kwa kutembeza bakuli ukiondoa Iraq na Afghnistan. Ndio nchi ambayo wakina mama wanalala wanne wakati wa kujifungua. Kwa maana hii elimu zote walizo nazo maCCM hazijakomboa nchi hii, watanzania tuamke na kuikataa CCM kwa nguvu zote. Kama Nape anadanganya kasoma A-Level wakati hajui hata darasa la A-level linafanana vipi na Mwenezi wa chama, je mtoto wa form4 alichora ZOMBI tumshangae??
 
Nyinyoemu haina wasomi ila inawatu wenyevyeti vya elimu ya juu sana kuliko uwezo wao.

Ni sawa na mtu anavaa viatu number 4 ila ameng'ang'ana avae number 9.outomatically vitampwaya tu,ndi watu wa nyinyiemu walivyo.
 
Dr. Kawambwa ni waziri mwenye dhamana ya kuongoza wizara,kama lawama wapewe WAALIMU na WAZAZI kama waliwajibika kwa watoto wao.
Isitoshe hii tabia ya kufungua ACADEMY SCHOOLs nayo inachangia kuvuruga mifumo ya shule za serikali kwa kuwaleta migogoro ya walimu kutoridhika na mishahara yao ukilinganisha na walimu wezao ambao wapo privates(wengi wao ni graduates).

pia waziri asingeweza kubadili kitu chochote ndani ya mwaka mmoja ktk wizara,tuache siasa.Kama kweli wapinzani wanahoja za msingi walikuwa wapi kutoa hoja za msingi bungeni zaidi ya kung'ang'ana na maandamano nchi nzima(Nadhani ushawishi wa maandamano umechangia pia kwa wananchi kuwatelekeza watoto wao)
Ni lazima kuwe na standards za mishahara na ADA za shule ili ushindani uwe sawa....
 
NAPE NNAUYE
DIV IV-29
KISW D, HIST D, GEOG D, ENG F, B/MATH F, BIOL D, CHEM D, PHY D, CIV F

JOHN MNYIKA
DIV I-7
PHY A, CHEM A, BIOL A, CIV A, ENGL A, GEOG A, HIST A, B/MATH A, KISW A, B/KNOW A

MY TAKE: MNYIKA NI GENIUS System Let him Down
NAPE AJIENDELEZE System Favors him kwasababu ya CCM is a CULT
 
Nasikia jina lake halisi ni Nahum Nnauye ! hilo lingine alipora kwa masikini aliye faulu but hakuwa na uwezo wa kwenda shule ni fisadi no 1 ile kujivua gamba inamuhusu sana!
 
Halafu watupe na ufafanuzi wa uongo wanaoeneza kuhusu elimu ya Nape ya A-level maana wapambe wa Nape watakuja hadi na elimu ya Nape ya A-Level wakati kiuhalisia Nape Nnauye Patel hajawahi kukanyaga darasa la A-Level kwenye hii dunia...

Kwa pumba ambazo Nape huwa anamwaga sijui maCCM aliyadanganya nini hadi kumpatia ukatibu mwenezi na F yake ya Civics??
 
Back
Top Bottom