Hii ndio dawa ya wanawake wajanja wanjanja

Hii ndio dawa ya wanawake wajanja wanjanja

....mkuu hawa wanawake wachukulie kama watoto akikuomba msaada wote hata wa kifedha mpatie kama unayo, lakini usifikirie sana kulipwa penzi, huwa wanakuja kuwa msaada hata Kwa jambo linguine tofauti kabisa na mapenzi na utashangaa, mifumo ya maisha ya kidunia(Siasa, uchumi, mazingira afya etc) haiko fair ana Kwa mwanamke, hawa ni victim wa mifumo ya dunia, wanahitaji sapoti yetu wanaume so tuwapende na kuwajali Kwa nafasi na uwezo tulionao tu.....si ajabu ungempatia hiyo kumi ungemuokoa kwenda kudhalilishwa na mwanaume mwingine huko....so alikuamini wewe......
Hakuna kitu mjomba ni wezi tu.
 
Boss,sio kwamba mbususu hawatoi,wanatoa ila kwa watu wao spesho sio kwa kila mtu,sisi kina kingwendu ni kama spea tairi tu
Kweli aisee, maana hapa nina manzi ananipiga vizinga mwezi sasa ila mbususu kanipa mara mbili tu tena nimekomaa kweli. Huyu lazima ana mtu wake spesho mimi kama spare tairi tu
 
 
Hiyo ndo dawa yao...mm demu namsaidia mara mbili tu,asipotoa mbususu na mm sitoi hela,nipe nikupe...haiwezekani nikupe mm tu siku zote!
Hii ndio akili. Ila utasikia jamani freddy unitombeee kwa msaada wa buku 30 tuu.
 
Kuna hawa madem kama watatu hivi,tunalink fresh kabisa na wakikwama mambo madogo madogo nawasupport ila linapokuja suala la kuniletea mbususu geto wanakua wajanja kweli!

Namimi nikaamua kuchange gear angani kimya kimya,nikakata mazoea kabisa toka mwezi wa 12 nikaacha kabisa kuwapa attention wala kuwatafuta,ni kuview status tu na kupita hivi! Sasa bana Mungu nae si Athumani kama zali tu akaanza mmoja siku amenasa dadeq hana hata hela ya kula! Si akanipigia baada ya kunitumia text nyingi bila kujibiwa?

[emoji1] Mi nilipokea tu na kuongea maneno mawili "Niko Salama" nikakata[emoji23][emoji1421] akapata fundisho lake sasa na leo mpuuzi wa pili kanasa kama kawaida amenitext WhatsApp baada ya takriban miezi 3 bila salamu🤌[emoji2535]. Kwakua mi kamati ya roho mbaya yani unyama unyamani mtoto mzuri nimemjibu kwa technique ya Mwl.Kashasha ya cross cutting grass [emoji23][emoji116]

Bado mmoja [emoji39]

View attachment 2533803

[emoji28]

Asante kwa kuniamin
 
Sasa nakosaje 10K. Acha zarau.
Sasa demu utelezi kakunyima, hela hutaki kumpa.
Tupe namba wengine tumuhudumie.

Kheee we vp ata kama ana magunia ya pesa yataisha Sasa kama kila moumbav umpe tu [emoji28]
 
Back
Top Bottom