Hii ndio faida ya kuwagawa mashabiki kwa itikadi, pole sana Zuchu

Bongo Movie iko wapi kwa sasa?
Yaani wasanii wakatae deals kwa sababu kuna watu watachukia? Mtawalisha?

Mbona 2015 queens wa bongo movie wote walikuwa upande wa Lowasa na hatukuacha kufuatilia kazi zao?
 
Zuchu anagusaje maisha ya mtanzania mmoja mmoja?
Zuchu alipendelea Ccm lini?

Alishaitwa na wapinzani akagoma?

Sina hakika kama wapinzani hela hiyo wanayo
 
unayepingana nae kashakukalisha kwa hoja kabisa, muda si mrefu mlisema Zuchu hana mashabiki Bali wote wanaomkubali Zuchu ni mashabiki wa wcb, mm nimeelewa mchezo wenu mnapitia mgongo wa siasa kuzisema chuki zenu dhidi ya WCB na mioyoni mwenu nyie ni watu wamateam tu.
 
Mbona Diamond kashinda tuzo nyingi na amewapigia kampeni CCM Burudani na Siasa Ni vitu viwili tofauti.
 
Kwa hyo mlitaka zuchu akawapigie debe chadema?.
"TUSIPANGIANE VYAMA".
ukitaka kumpigia kura mpigie usipotaka ACHA.
 
Kama umeshindwa kujua msanii mwenye followers wengi kwenye social platforms anawezaje kumotivate Jambo chanya katika jamii,Basi nami sitoweza kujichosha kukueleza msanii Kama huyo (zuchu) anagusaje hayo maisha ya mtanzania!
Pumbavu wewe wakati huo Wema alikuwa na followers wangapi?

Wolper? Anti Ezekiel?

Tatizo mmetimiza miaka 18 juzi na huu ndio uchaguzi wa kwanza

Hamjui ya nyuma
 
Bongo Movie iko wapi kwa sasa?
Kwamba Chadema ndio wameiua?

Mbona haikufa TOT? Mbona haijafa Bongo Fleva na wasanii wanatumika na Ccm miaka yote?

Mna harakati za kishenzi tu
 
Jitahidi kuheshimu ITIKADI ya mwenzio.
Sio lazma wote tuwe ccm au wote tuwe chadema..
Unachokiwaza wewe MWENZIO HAKIWAZI
Hatupaswi kuwapigia kura wasanii wa Tanzania wala kwenda kwenye matamasha yao.Ccm wametesa na kuua watu kwa miaka mitano lkn,wasanii wameshindwa kuutumia umaarufu wao vzr matokeo yake wanakubali kuinamishwa na ccm!
 
Mkuu una vituko sana....naona umeamua kujijibu comment yako binafsi...

Hahahahaa

This is hillarious!
Jibu swali? Kuitwa kupiga kazi ni kupendelea?
Akatae kwa maslahi ya nani?

Mbowe atamlisha?
 
Kwamba Chadema ndio wameiua?

Mbona haikufa TOT? Mbona haijafa Bongo Fleva na wasanii wanatumika na Ccm miaka yote?

Mna harakati za kishenzi tu
Naona nyinyi wenye harakati za kijanja mmetulia tuli.
 
Ilianzia kufa mikononi mwa CCM ilipoenda Chadema ikazikwa rasmi
Kwamba Chadema ndio wameiua?

Mbona haikufa TOT? Mbona haijafa Bongo Fleva na wasanii wanatumika na Ccm miaka yote?

Mna harakati za kishenzi tu
 
Kwakweli
 
Japo simkubali jiwe na ccm yake lakini chuki zetu zisipitilize kwa kiasi hiki wakuu,maisha ndio yanatufanyaga tufanye vitu fulani fulani si kwa hiari yeti isipokuwa kwa ajili tu ya kupata kitu fulani.Huyu dada anafanya anayoyafanya kwa ajili ya kujipatia kipato sidhani kama anaipenda ccm kiasi kwamba akifa atazikwa nayo.
 
Neutrality ni inshu hasa ukiwa subjected na mayala na nusu (njaa)
 
Kuacha kumpigia kura haitoshi inabidi tupige kwa opponent ili asishinde kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…