Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Hii ni kumuonea Tu!! Ile ni Biashara kama watakavyopiga shows sehemu yeyoteHii iwe fundisho kwa wasanii wote,mmejinasibisha mko upande gani badala ya kuwa neutral...basi waombeni kura wanachama wenzenu.View attachment 1597596View attachment 1597599View attachment 1597601View attachment 1597598View attachment 1597598
Kama kapewa mbona analia apigiwe kura, si ajipigie mwenyewe kwani ye hana simu?Vijana acheni wivu. Aliyepewa kapewa tu.
Trust me mkuu...hao jamaa awards watapata na uzi utakuja kufufuliwa huu...
Mim pia ni mpinzani mwenzako lakin kweny hili naona haina maana...mda tupo busy na kusema fulan asishinde grammy ccm wao wako busy na majimbo
Sent from my
Ninachokisema ni kwamba ashinde gramy asishinde but ukweli utabaki pale pale washapoteza kundi kubwa la mashabiki,unajua siasa sio mpira wa miguu,huu ni utawala na kuna watu wameumizwa direct na siasa za vyama,aidha kwa kupoteza mali au ndugu zao au viungo vya mwili....kwa mantiki hii usitegemee kumpenda mtu ambaye unaona asapoti upande ambao umeathiri maisha yako negative,na hili kundi ni kubwa....mimi sio mgeni kwenye nchi hii lakini ni kwamba siasa za 2010 na za 2020 ni tofauti kadri miaka inavyoenda munkari inashika kasi mno,sijui niseme nini unielewe ninachomaanisha....la mwisho kabisa ni kwamba celebrity unapochagua upande wa udhalimu maana yake unasapoti ukandamizaji,je nitakupendaje wakati mimi ni mhanga wa serikali tesi? sijui kama nimeeleweka sababu nimeandika kwa hasira mana nikiwaza wanavyoponda upinzani majukwaani halafu leo hii wanatuomba sapoti yetu kwenye maslahi yao masna yake wanatuona sisi mafal.aMzee kwanza mimi siwez kua ccm miaka 100...
Pili nimeongea reality ilivyo...Ww ni mgen na hii nchi? Wasaniii wamekua waoga kutokana na system ilivyo..unafkr wao hawna shida? Tusitegemee msanii atakuja kuikomboa hii nchi...na hatuez itoa ccm eti kwa kuwanyima watu grammy [emoji16] hebu soma vzr post yangu utaelewa position yangu..
Huyo chini ni Diamond...unataka kusema hao wana wote hapo ccm damu? Hii maana yake msanii pamoja na Chama chake that none of our business...na hili utaliona tena..jamaa watabeba awards kama kawa...Tupambane tareh 28 tuache kuhangaika na hao wafia tumboView attachment 1597710
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
AhahahaNEC si wapo
Mzee hilo lakupoteza mashabik nakataa...hapo ni team tu znafnya kazi..kubal ktaaa..kam umefuatlia hao jamaa kadri miaka inavyoenda ndio wanazid kujibebea mashabik...Ninachokisema ni kwamba ashinde gramy asishinde but ukweli utabaki pale pale washapoteza kundi kubwa la mashabiki,unajua siasa sio mpira wa miguu,huu ni utawala na kuna watu wameumizwa direct na siasa za vyama,aidha kwa kupoteza mali au ndugu zao au viungo vya mwili....kwa mantiki hii usitegemee kumpenda mtu ambaye unaona asapoti upande ambao umeathiri maisha yako negative,na hili kundi ni kubwa....mimi sio mgeni kwenye nchi hii lakini ni kwamba siasa za 2010 na za 2020 ni tofauti kadri miaka inavyoenda munkari inashika kasi mno,sijui niseme nini unielewe ninachomaanisha....la mwisho kabisa ni kwamba celebrity unapochagua upande wa udhalimu maana yake unasapoti ukandamizaji,je nitakupendaje wakati mimi ni mhanga wa serikali tesi? sijui kama nimeeleweka sababu nimeandika kwa hasira mana nikiwaza wanavyoponda upinzani majukwaani halafu leo hii wanatuomba sapoti yetu kwenye maslahi yao masna yake wanatuona sisi mafal.a
Alaf mzee wale sio kama wanapenda kufanya zile kampen...wale wameshikwa pabaya...Wanatumia TCRA na Basata kuwanyosha hao wasanii..Ninachokisema ni kwamba ashinde gramy asishinde but ukweli utabaki pale pale washapoteza kundi kubwa la mashabiki,unajua siasa sio mpira wa miguu,huu ni utawala na kuna watu wameumizwa direct na siasa za vyama,aidha kwa kupoteza mali au ndugu zao au viungo vya mwili....kwa mantiki hii usitegemee kumpenda mtu ambaye unaona asapoti upande ambao umeathiri maisha yako negative,na hili kundi ni kubwa....mimi sio mgeni kwenye nchi hii lakini ni kwamba siasa za 2010 na za 2020 ni tofauti kadri miaka inavyoenda munkari inashika kasi mno,sijui niseme nini unielewe ninachomaanisha....la mwisho kabisa ni kwamba celebrity unapochagua upande wa udhalimu maana yake unasapoti ukandamizaji,je nitakupendaje wakati mimi ni mhanga wa serikali tesi? sijui kama nimeeleweka sababu nimeandika kwa hasira mana nikiwaza wanavyoponda upinzani majukwaani halafu leo hii wanatuomba sapoti yetu kwenye maslahi yao masna yake wanatuona sisi mafal.a
Piga spanaaUkiona kioo kinapigania haki ya kulamba makalio ya viongozi hiko ni cha kukivunja
Maelezo marefuu ya nini kwani naijeria wameweza vipi?Alaf mzee wale sio kama wanapenda kufanya zile kampen...wale wameshikwa pabaya...Wanatumia TCRA na Basata kuwanyosha hao wasanii..
Muone jide kilichomkuta tayar anaambiwa amechochea uvutaji bangi kisa kagoma kwenda kweny kampen.
Hao wasafi walifungiwa kwa kichaka cha maudhui lakin ukwel jamaa walikua wnapost habar za lisu...sasa tangu wmerud hewan umeona hata post ya upinzan tena? Clouds nao vile vile...sas mond hapo akipiga hesabu unafkr atagoma?
Shida hapa sio wasanii shida ni Watanzania wote...leo tukisema tuingie barabarn kudai haki zetu mzee utatoka? Okey tuseme we jembe utatoka..je jiran yako atatoka?
Tusiumize mtu individual kweny vita ya taifa zima...zuchu anaangalia ugal wake kama mtu mwingine yule ambaye atagoma kudai haki za msingi....
Basi tukitoka kwa wasanii tuamie wapi kugoma kutibiwa kweny hospital walizojenga ccm au? Kama hii ndo strategy ya kuitoa ccm basi ccm wana miaka 1000 tena mbele [emoji3]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Wanaija wao waliangalia nan hatak kuingia barabaran au waliangalia mbele tu? Kama hii ni strategy Basi ccm haitok madarakan....braza iko hivi...huwez kuleta changes hata siku moja kama majority hawajachoka bado...siku wabongo wakichoka system mbna utashangaa unaamka unaingia barabarn..ila sio kwa hizo porojo za awards [emoji3][emoji3]Maelezo marefuu ya nini kwani naijeria wameweza vipi?
Piga spana
nikuulize tu swali kwa nini ccm wanatumia wasanii kwenye kampeni zao?Alaf mzee wale sio kama wanapenda kufanya zile kampen...wale wameshikwa pabaya...Wanatumia TCRA na Basata kuwanyosha hao wasanii..
Muone jide kilichomkuta tayar anaambiwa amechochea uvutaji bangi kisa kagoma kwenda kweny kampen.
Hao wasafi walifungiwa kwa kichaka cha maudhui lakin ukwel jamaa walikua wnapost habar za lisu...sasa tangu wmerud hewan umeona hata post ya upinzan tena? Clouds nao vile vile...sas mond hapo akipiga hesabu unafkr atagoma?
Shida hapa sio wasanii shida ni Watanzania wote...leo tukisema tuingie barabarn kudai haki zetu mzee utatoka? Okey tuseme we jembe utatoka..je jiran yako atatoka?
Tusiumize mtu individual kweny vita ya taifa zima...zuchu anaangalia ugal wake kama mtu mwingine yule ambaye atagoma kudai haki za msingi....
Basi tukitoka kwa wasanii tuamie wapi kugoma kutibiwa kweny hospital walizojenga ccm au? Kama hii ndo strategy ya kuitoa ccm basi ccm wana miaka 1000 tena mbele [emoji3]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Wanataka watu tu basin
nikuulize tu swali kwa nini ccm wanatumia wasanii kwenye kampeni zao?
bila wasanii watu hawataenda?
pancho boy Kwani mzee lini umewahi kumshabikia Zuchu mpaka uwe na impact kwenye mziki wake?Kwahiyo na wewe amekwambia nani na nani anataka wampigie kasema watanzania..au sisi ni wakongo?
Nyie chawa ndo mnamharibia msanii akose kura
Na kura sipigi unatakaje chawa mna kazi ngumu
Hata usipompigia kura hapotezi kitu. Wewe kaa na hako kakura kako.Kama kapewa mbona analia apigiwe kura, si ajipigie mwenyewe kwani ye hana simu?
Kwani ulitaka raia wakufanye nini mkuu?Nitawapigia kura wasanii wote wa Tanzania na hakuna ki2 mtanifanya
Kweli kiswahili ni kigumu sana.Ameombwa Yeye? Hana manango atatafuta tu kiki. Kwa stress zake. Naona huo muda wa maana alionao kama atashinda