Hii ndio faida ya kuwagawa mashabiki kwa itikadi, pole sana Zuchu

Muache unafki kama ndio harakati zenu mshambulie wasanii wote hadi akina Hbaba na pia msisahau kuacha kushabikia Simba sc maana hata bosi wenu alikuwa anamuunga mkono mgombea urais wa chama fulani. Nakumbusha kila mtu mumgomee na sio kuchagua sehemu za kufanyia harakati. MUACHE UNAFKI
 
Kwani ni lazima raia wampigie kura Zuchu?
 
Ila unafiki tumeurithi kwa Polepole ujue.View attachment 1598260
Muache unafki kama ndio harakati zenu mshambulie wasanii wote hadi akina Hbaba na pia msisahau kuacha kushabikia Simba sc maana hata bosi wenu alikuwa anamuunga mkono mgombea urais wa chama fulani. Nakumbusha kila mtu mumgomee na sio kuchagua sehemu za kufanyia harakati. MUACHE UNAFKI
 
Hakika tutaacha baada ya tuzo hizo.
 
Waliosema Kura ni siri yako wewe mpiga kura awajakukosea kabisaaa Ndugu zetu wasanii mjifunze na hizi semi .
 
Wasanii ni sehemu ya ukombozi wa jamii.
Kama msanii unatetea tabaka tawala huo ni udwanzi kama wasanii wa Ccm.

Zuchu tunakupenda lakini sio kwa kuichezea ccm. Hapo ni sawa na kuhalalisha unyanyasaji, uuaji na utesaji kwa wapenzi wa mziki wako..
Kama vp jitenge na siasa. .
 
Umemsahau msanii mwenzao Roma Mkatoliki
 
Wapunbavu na wakome
 
Hakika tutaacha baada ya tuzo hizo.View attachment 1598261

Huo ushauri muwashauri na wasanii wengine na sio kuchagua baadhi pili hata Mo alionesha kuunga juhudi basi itakuwa ni harakati kweli mkigomea kushabikia Simba sc na bidhaa zake lakini sio kufumbia vitu vingine.
 
Hakika tutaacha baada ya tuzo hizo.View attachment 1598261
Muache unafki kama ndio harakati zenu mshambulie wasanii wote hadi akina Hbaba na pia msisahau kuacha kushabikia Simba sc maana hata bosi wenu alikuwa anamuunga mkono mgombea urais wa chama fulani. Nakumbusha kila mtu mumgomee na sio kuchagua sehemu za kufanyia harakati. MUACHE UNAFKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…