Hii ndio gari KABAMBE atakayopewa Mshindi wa shindano la urembo MISS LAKE ZONE

Na kweli ukutaka kuwa fundi nunua gari bovu
 
Na kweli ukutaka kuwa fundi nunua gari bovu
Lakini ni wangapi walitaka kuwa mafundi wakaanza kwa kununua magari yao binafsi mabovu? Sawa hao ni kwa wale wanaotaka kuwa mafundi lakini na hao mabinti wanataka kuwa mafundi makenika?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukisikia "Mshindi wa Miss Lake zone akataa zawadi" basi usishangae.
 
Hii si ilikuwa bodi kwa mangi pale buzuruga, kumbe iliisha
 
Wanaosimamia mashindano na wasanii hivi ndio wanatakiwa kusimamia sio kwenda uwanjani kumvizia Diamond akiondoka bila kibali hilo ni gari la kumpa mshindi bora lingekua aina hiyo ila jipya kwani jipya ni shilingi ngapi mpaka mtoe hicho mnatudhalilisha hata tusiousika bhana...
 
Iko poa sana. Inawafaa sana warembo wa kisukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…