MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,391
Na kweli ukutaka kuwa fundi nunua gari bovuGari iliyochoka ndio nzuri kuanzia sababu inakuwa Na matatizo kibao unaujua umakenika Bila kwenda chuo mara breki zimepitwa,mara inachemsha ,nk ukija nunua mpya Kila kitu unajua huhitaji fundi wa kukwambia.Hao waliotoa zawadi naona wamelizangatia hilo. Cha umuhimu atembee Na box la spana namba zote