Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Rim zake utadhani makarai yaliyotumika sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu Bora wangeweka hata boxerunaweza kuta hata kufika hapo ilivutwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unaweza kuta hata kufika hapo ilivutwa
boxer chupi? au pikipiki?Kweli mkuu Bora wangeweka hata boxer
Pikpikboxer chupi? au pikipiki?
hahaaaaa hii gari sijakua dalali kweli[emoji23] [emoji23]![]()
Rim zake si za nchi hii.
Gari iliyochoka ndio nzuri kuanzia sababu inakuwa Na matatizo kibao unaujua umakenika Bila kwenda chuo mara breki zimepitwa,mara inachemsha ,nk ukija nunua mpya Kila kitu unajua huhitaji fundi wa kukwambia.Hao waliotoa zawadi naona wamelizangatia hilo. Cha umuhimu atembee Na box la spana namba zoteBora hata zawadi ingekuwa mkokoteni mpya kuliko hiyo gari. Aibu sana kwa waandaji na dharau kwa washiriki.