Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

Kwenu ni wapi, mnajibaraguza humu wakati mmekimbia kwenu. Ht hivyo wananchi wala mbunge hajengi lami inajengwa na serikali.
 
Sina muda wa kupoteza na mtu mpumbavu.
Hata unge-google ujiridhishe kama bumbuli ni wilaya ila ukaendelea kukaza shingo yaan una ujuaji wa kijinga sana

Bumbuli ni wilaya tokea 2013 lakin baada ya miaka 11 bado unabisha kwa nguvu zote alafu unajiona unaakili we ni mjinga tu
 
Nadhani huko kichwani kwako huko sawa hata kidogo. Wewe ume-google' na kukuta Bumbuli ni wilaya?
 
Tokea 2013 najua ni wilaya ambayo mwaka 2012 wilaya ya kilindi ilimegwa kutoka handeni

Ukikosea kubali sasa wewe hutaki kukubali kwamba bumbuli ni wilaya yaani unabishana na mpaka wizara ya tamisemi
 
Sijui nikusaidie vipi mtu wa aina yako.
Hebu weka jina la mkuu wa Wilaya ya Bumbuli hapa; labda hiyo itasaidia.
 
Kwenu ni wapi, mnajibaraguza humu wakati mmekimbia kwenu. Ht hivyo wananchi wala mbunge hajengi lami inajengwa na serikali.
Acha upumbavu ,wewe kenge sio msemaji wangu,serikali ni nani?,tapeli gwajima alivyoahidi pale kawe ni uongo nhe!na unavyomsifia kuwa eti no 1 amejenga zahanati kijijini kwako nao ni uongo,uongo ni ushetani wa hali ya juu
 
Selfishness ndio hulka yetu !
Tunafikiria kujilimbikizia kwanza !!
Maendeleo baadaye !
Pale ambapo politicians wanatumia njia za uongo ili kupata kura za poor of the poorest na bado NEC inaona ni sawa mgombea kutumia njia za kilaghai kupata ubunge
 
Hao jamaa ndio wabaya wa Nchi hii !
 
Mwishimiwa mbona hiyo namba sms hazipokelewi?
 
Watu wana machepe kwapani muda wote Ni kufukua tu gravesyards hii JF 🀣🀣
 
Tume 5 mingine wasambaa na wabondei waendelee hivyo hivyo maana ndio wamechagua hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…