Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Ni mwendo wa kubembea tu aises inasikitisha sana haya mastimj yana athari sana. UmishKuwa una uraibu na kimoja unazalisha ubitaji wa kingine..sigra[emoji117]bangi[emoji117]unga ...Kwa wengi imeanza hivyo si wote
 
najaribu kudadisi kwa nini watumiaji wa mwisho wengi hutoka katika imani moja? eneo moja la dar es salaam?
 
Hivi haya madawa yana starehe sana eeh, na inakuaje wanapokosa pesa ya kununulia? Nahisi baadhi yao huenda wakakubali hata kupumuliwa, hii hatari sana serikali ijitahidi kuangamiza hili tatizo kwa kweli ndio maana mashoga wamekuwa wengi mtaani.
 
Hivi hawa wangefungwa magereza za mikoani vijijini huko kwa miaka mitatu isingesaidia wakarudi wamejirekebisha?
 
haya madawa ya kulevya ni sumu kwa vijana hasa walio na msongo wa mawazo kutokana na mambo mbalimbali ya kimaisha... wanakosa ushauri na kutafuta njia ya kijifariji na kujipa raha, kumbe wanajiaribu zaidi.
 
Unajua Tatizo wao wanaona kuvuta ni sifa. Wanataka wapate ule "u-cheap populality). Kumbe ndio wanajimaliza.
 
Kulingana na UTAFITI nilioufanya mimi mjini Mombasa ninapotoka, THE PROBLEM IS PEER PRESSURE. Kaa mbali na marafiki au watu mnaojuana wanaotumia hizi vitu. Vijana wengi wanadanganyana kuwa ukivuta unga unakuwa High kushinda Pombe au Bangi na pia unakuwa na uwezo mkubwa kitandani(Uwezo wa kuSex kwa mda mrefu) coz Unga ni zaidi ya Viagra. Mwanamme anayetumia Unga anapata tabu sana kupiga bao, anaelea kwenye utamu tu na hii ni advantage kwa mwanamke anayelala nae coz anaweza kumfanya mwanamke huyo Kukojoa kwa urahisi sana. On the other side, mwanamke aliyevuta unga ni rahisi sana kukojoa anapoSex.

Na wanasema utamu wa kuvuta Unga ni sawa na Utamu wa mwili mzima kupiga bao continuosly (Full Body Orgasm) mpaka stimu itakapokatika. Sasa hapa ndio sielewi.

Wengine wanasema ukishavuta, unajiskia dunia ni yako, shida zimekuondokea na kila kitu unakiona AMAZING kwako, au unajiskia kama Mungu amekukumbatia, au unaskia raha sana na mwili wako unajiskia vizuri mno. Shida ni pale stimu inapokatika, ile raha inapoisha ndio unajiskia unataka kuskia ile feeling tena. Hapo ndio utafanya juhudi zote ili uskie ile feeling tena. Wanasema its the best feeling in the world. Ndio maana utapata MATEJA wengi hawajali kuhusu muonekano, usafi, familia au afya zao. Roho zinawabadilika na wengine wanageuka wezi bila kutaka. Wanachojali ni ile feeling tu ya kuvuta unga wanayosema ni The best ever.

WARNING: STAY AWAY FROM DRUGS.
Duuuhh yaelekea hata papuchi haioni ndani
 
Hii kitu hatari sana, inatafuna afya kama mchwa!
 
Duuuhh yaelekea hata papuchi haioni ndani


Papuchi mara 100 ndio upate stimu ya Unga. Ndio utaona mateja wengi hawana haja na mademu coz ile feeling ya Unga inapitiliza.

Ndio maana wanakwambia USITUMIE UNGA, coz its HIGHLY ADDICTIVE. Ule utamu ambao utapata, lazima utarudia tu.
 
Madawa kama hujavuta ni bora usipime kabisa,nimevuta 3yrs heroine. I thank God am sober for 5 consecutive year kama hujawai kuvuta utaongea maneno mengi sana ila kama ushawahi kugusa ile kitu unabaki unamuombea Mungu muathirika ajitambue one day aquit.

Wanangu niliowawasha magar 90% bado majunkie wanaenda rehab na kurudi lakini waap,Madawa ni kuamua rehab ni msaada tu wa kukufikisha kuacha ila kama hujaamua Rehab inakutia hasira ya kuzidisha dose.

Ni kuwaombea Mungu tu kuponda na kulaumu hakusaidii sana.
 
Hii miupuuzi inayopigiwa chapuo na jamii sijui Fiesta, Bongo Fleva, Bongo movie et al... Inatuharibia watoto nasi tunachekelea tu! Harafu, Omg! Siamini! Anatia huruma! Nyambaf...
 
Back
Top Bottom