Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Ni machungu kama mbegu ya limao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana ilikuwa tarehe 1/1/2017 wewe unasema alifanya kipindi na zamaradi mwaka huu kwahiyo unamaanisha alifanya kipindi jana tarehe moja au leo tarehe mbili?Mungu wangu! huyu kijana ameisha kiasi hicho lini?
Nakumbuka ni mwaka huu alifanya kipindi na zamaradi mketema clouds tv, alikuwa anaonekana yuko poa!
Ila alikiri anatumia kidogo sasa labda kimoja kilijidoble siku za karibuni
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hii kitu Ni balaa itabidi nijaribu maana yaonyesha utamu wake Ni noooooomaaqq
kwenye page ya mange kule ig kawataja kabisa jamaa kama watatu akiwepo mmiliki wa e-fm/tv-e lakini ukute hakuna hata atakayeshughulika nao, so sad
Muuza bange maarufu mjini.Who's Kaka VODA? Naona ametajwa sana kwenye baddhi ya hiyo mistari.
Dutrete anaweza kumpangia ratiba mzuri sana.yani nando a.k.a toress umeshindwa arrangemente tu, kujipangia ratiba umeshindwa kabisaaaa
Mhhh kwa hapa serikali iangalie hili tatizo kwa jicho la tatu kwani baada ya miaka kumi kutakuwa na kizazi cha walemavu wa akili wengi mitaani maana mimba zikitungwa na mtu yupogo dozi sijui huyo mtoto atakaezaliwa atakuwaje!Wanayapata wapi? Hao barons wa unga mbona hawashikwi?
Inaweza kuteua na kutengua. Ngoja nimwombee muheshimiwaInamaana serikali ya JPM imeshindwa kabisa kupambana na wauza madawa ya kulevya?
Inamaana Tanzania kuna wanapozalisha haya madawa au yanatoka nje ya nchi??
Kama yanatoka nje ya nchi yanapitia wapi kuingia nchini??
Serikali ya awamu ya tano iache "kutuigizia" ipambane na vitu kama hivi vinavyoharibu vijana wetu!
Pole Nando, pole wazazi, ndugu na rafiki za Nando. OLE OLE kwetu wenye watoto, OLE kwa Taifa letu.Inaweza kuteua na kutengua. Ngoja nimwombee muheshimiwa