Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Hivi,hawa wooote wanaoathiriwa na sembe hawawaoni wenzio walivoathiriwa kabla yao!?

Binadamu tungekuwa tunajifunza kutokana na matatizo ya wenzetu, hata ukimwi haungefikia kiwango cha kutisha kama ilivyo sasa....!
 
Mungu wangu! huyu kijana ameisha kiasi hicho lini?
Nakumbuka ni mwaka huu alifanya kipindi na zamaradi mketema clouds tv, alikuwa anaonekana yuko poa!
Ila alikiri anatumia kidogo sasa labda kimoja kilijidoble siku za karibuni

Yani hapo ndo yupo poa?[emoji2]
 
ngo
Sijawahi kua na huruma ya kweli kwa watumiaji wa ngada maana wote na majuha tu ila kwa unafiki tunajifanya tunawahurumia ila hawa wehu walitakiwa wale poda mpaka wafe wenyewe ili wawe mfano kwa wengine(nimeongea ya moyoni)
ngoja kwanza upate watoto
 
isee,hiyo itakuwa ni kweli kabisa maana sidhani kama kuna walioanza kula unga kabla ya kuwa wanavuta bangi,hata kama wapo watakuwa wachache sana,na nathani wana malengo kabisa ya ku recruit watu maarufu hasa kwenye tasnia ya entertainment kwasababu hawa wanakuwa na kipato na pia kuna kuigana ukiona flani maarufu na anatumia unaona kumbe ndo ujanja!
Na walionza kuvuta bang walianza ma sigara?bas sigara zipigwe marufuku.
 
inasemekana anapita mtaani anjiuza kwa 20,000 ,unajua kuna hata fununu marehemu langa alifikia hatua hiyo,na mwisho wa siku mateja wengi wanageuzwa wa kike au wa kiume,kwenye hiyo video ukiangalia vizuri,jamaa linampigampiga mgongoni sijui ni utani au vipi lakini kama wanataja bei,maana huyo demu anasema FORTY????nando anaona aibu sijui anataka kulia anainamisha kichwa chini
 
Mungu wangu! huyu kijana ameisha kiasi hicho lini?
Nakumbuka ni mwaka huu alifanya kipindi na zamaradi mketema clouds tv, alikuwa anaonekana yuko poa!
Ila alikiri anatumia kidogo sasa labda kimoja kilijidoble siku za karibuni
Imeshakuwa mwaka Jana mkuu
 
Hii hali inatia huzuni sana, hata huku tuliko vijana wanaangamia kila uchao na wanaofanya biashara hii tunawajua baadhi yetu tulishapeleka taarifa za vitendo hivi viovu kwenye mamlaka husika lakini yaliyotufika Mungu pekee anajua;
1. Jumbe za vitisho
2. Watu wa mamlaka ya mapato walikamata baadhi ya mali zetu kila ukifuatilia hakuna
mang'azo na kila bada ya muda fulani wanakuja kwenye biashara zetu kwa vishindo kabisa na askari juu ilikututia khofu.
3. Kusingiziwa kama sisi hatuna uraia wa nchi hii na watu wa uhamiaji wakawa wanatufuatilia kwa kina kabisa
4. Hao wauza unga wapo mpaka kesho na wamejifungamanisha na nyumba za ibada na ni wafadhili wakubwa wa vyama vya siasa.
5. Mwisho wa siku ilibidi tuyahame yale makazi tunashukuru huku tulipo tumeviepuka vituko na vitakuro vya hao mabwana wakubwa ambao kwa inda waliyonayo hawataki mambo yao kuwekwa wazi, lakini ukweli una gharama kubwa sana.
 
inasemekana anapita mtaani anjiuza kwa 20,000 ,unajua kuna hata fununu marehemu langa alifikia hatua hiyo,na mwisho wa siku mateja wengi wanageuzwa wa kike au wa kiume,kwenye hiyo video ukiangalia vizuri,jamaa linampigampiga mgongoni sijui ni utani au vipi lakini kama wanataja bei,maana huyo demu anasema FORTY????nando anaona aibu sijui anataka kulia anainamisha kichwa chini
Mateja wengi huwa wanafanya kazi ngumu za mtaani

Wengine wanaokota makopo.
Wengine wanazoa taka,wanapiga debe nk

Sasa hao wanaojiuza labda wale mabishoo walioishiwa na hawawezi kufanya kazi ndio wanatumia mechanisms hyo

Ila mateja wengi wezi wa usiku na wanafanya kazi dhalili ,lkn huwa wanapiga kazi sana

Mfano huku kitaa kuna mateja wanapiga kazi balaa ,kuna teja mmoja alikuwa anasema yeye matumizi yake kwa siku 20,000 au 15000 na kweli unamwona anacharika kazi zote mtaani wanapewa mateja

Kama kafikia hatua ya kujiuza dah noma sana na jinsi anavyoonekana hawezi kufanya kazi,kukaba hawezi anaishia ku omba omba lzm agawe arosto mbaya

Ray c ilikuwa unampelekea kete unamkaza ,watoto wa kkoo walimfaidi sana

Ila huyu kama kafikia hatua ya kugawa ,kweli hajiwezi na asikuambie mtu mateja wana matumizi makubwa ya pesa ..kete 3000 labda ipande saizi ,..kwa siku kete 4 =12000 bado msosi,rizla ,sigara nk na hizo kete 4 zinaweza zisitoshe kwa siku
 
inasemekana anapita mtaani anjiuza kwa 20,000 ,unajua kuna hata fununu marehemu langa alifikia hatua hiyo,na mwisho wa siku mateja wengi wanageuzwa wa kike au wa kiume,kwenye hiyo video ukiangalia vizuri,jamaa linampigampiga mgongoni sijui ni utani au vipi lakini kama wanataja bei,maana huyo demu anasema FORTY????nando anaona aibu sijui anataka kulia anainamisha kichwa chini
uyo kaka Voda milionea alie kua ana tajwa na wasanii n nani naona swali lime ulizwa zaid ya mara4 lakini wachangiaji wana li ruka tuu.
kama unafahamu embu tupe hint kidogo tupate kumtambua
 
yani nando a.k.a toress umeshindwa arrangemente tu, kujipangia ratiba umeshindwa kabisaaaa
 
Mbona video inaonekana ni 2016, hyo picha sio wamefananisha kweli
 
Back
Top Bottom