Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Nobody said it better than Moe tech
  1. Sio ganja ni powder ndiyo iliyomharibu(stories Tatu)
  2. Wambie waache unga wale mmea (hiphop bila madawa)
Japo sidhani kama maneno yalikuwa exactly hivyo
Jay Moe.....
 
Mungu wangu! huyu kijana ameisha kiasi hicho lini?
Nakumbuka ni mwaka huu alifanya kipindi na zamaradi mketema clouds tv, alikuwa anaonekana yuko poa!
Ila alikiri anatumia kidogo sasa labda kimoja kilijidoble siku za karibuni
Itakuwa mwaka jana sio mwakaa huu mkuuu
 
Mungu wangu! huyu kijana ameisha kiasi hicho lini?
Nakumbuka ni mwaka huu alifanya kipindi na zamaradi mketema clouds tv, alikuwa anaonekana yuko poa!
Ila alikiri anatumia kidogo sasa labda kimoja kilijidoble siku za karibuni

Unamaanisha mwaka jana mkuu sio Mwaka huu??
 
Huyu kwa zile tabia zake za kule big brother nilijua tu kuna vitu anatumia maana jamaa hakuwa na akili za kawaida.

Matusi makubwa makubwa,kugombana na mtanzania mwenzake kwenye big brother na kutaka kumchoma mwenzake kisu.

Mwisho wake ulikuwa unaonekana kabisa
 
Mungu wangu! huyu kijana ameisha kiasi hicho lini?
Nakumbuka ni mwaka huu alifanya kipindi na zamaradi mketema clouds tv, alikuwa anaonekana yuko poa!
Ila alikiri anatumia kidogo sasa labda kimoja kilijidoble siku za karibuni
Mungu wangu! huyu kijana ameisha kiasi hicho lini?
Nakumbuka ni mwaka huu alifanya kipindi na zamaradi mketema clouds tv, alikuwa anaonekana yuko poa!
Ila alikiri anatumia kidogo sasa labda kimoja kilijidoble siku za karibuni
Mwaka huu?
 
Hizi ni propaganda nini wakuu?

Jamaa kabadilika kichizi!!

Sijui ni kweli naskia ipo mashine yenyewe ipo kama beseni la kuogeshea watoto unatumbukiza huko miguu inakuwa inanyonya sumu mwilini,
 
Hiyo bajaji hapo nyuma,
Yeye ndiye utingo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…