Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Mungu wangu! huyu kijana ameisha kiasi hicho lini?
Nakumbuka ni mwaka huu alifanya kipindi na zamaradi mketema clouds tv, alikuwa anaonekana yuko poa!
Ila alikiri anatumia kidogo sasa labda kimoja kilijidoble siku za karibuni
Ukishaanza kutumia kuacha ni vigumu, nakumbuka tulifundishwa kuwa kwa mara ya kwanza unapotumia madawa ya kulevya basi ubongo huzalisha hormone flani hivi ambayo inakufanya utumie kiasi kikubwa kuliko cha kwanza
 
huu ni ujinga wake mwenyewe,ujana una changamoto zake ila wengi wamefanikiwa kuzipita bila shida.
 
Sometimes wakienda kununua marijuana pushers wana mix ili ku recruit clients
It's true wengi wa wala nyasi huingizwa kwenye ngada this way na cku nyingine akija tena anauziwa bangi tupu ili aone tofauti akiulizia tu anaambiwa. Nimeshuhudia haya kwa ndugu zangu kabisa walikuwa mateja nashukuru wawili wamefanikiwa kuacha
 
SINZA MAPAMBANOO KWA WACHINAA ILEMASHINE INAONDOA HADI SUMU YA HIV

UKIWEKA MIGUU WANAKUUNGANISHA NA MITAMBO MAJIYANAANZA BADILIKA RANGI KUWA BLUE AMA NYEKUNDU... UKIONA MAJIMEKUNDU KAPIME NA NGOMA UKITOKA HAPO
Kweli??
 
Inasemekana wanachanganyiwa bila wao kujua hasa wakishagundulika wanao uwezo wa kununua madawa hayo. Pia kuwa makini na aina ya vyakula au bites, watafuta wateja wanatumia sana kuongeza wateja. Mfano wanaweza kutarget mtoto wa familia yenye uwezo kwa kumlengesha ubuyuwenye unga. Watu wabaya wale!!!
Embu dadavua kidogo
 
Ndio akome..!! Sina huruma na majinga haya..
 
Huyu alikuwa anahojiwa na zamarad wa clouds tv akasema yeye aliyatumia madawa na akaweza kuyaacha.. akaponda sana watu wanajichoma yeye anasema alikuwa ana sniff wakati yupo mbele.. dah! Unga Qummanyoko!!!
 
Back
Top Bottom