Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Mungu wangu! huyu kijana ameisha kiasi hicho lini?
Nakumbuka ni mwaka huu alifanya kipindi na zamaradi mketema clouds tv, alikuwa anaonekana yuko poa!
Ila alikiri anatumia kidogo sasa labda kimoja kilijidoble siku za karibuni
ndugu umesahau [emoji28] [emoji28] [emoji28] Leo tarehe2
 
Sometimes wakienda kununua marijuana pushers wana mix ili ku recruit clients
isee,hiyo itakuwa ni kweli kabisa maana sidhani kama kuna walioanza kula unga kabla ya kuwa wanavuta bangi,hata kama wapo watakuwa wachache sana,na nathani wana malengo kabisa ya ku recruit watu maarufu hasa kwenye tasnia ya entertainment kwasababu hawa wanakuwa na kipato na pia kuna kuigana ukiona flani maarufu na anatumia unaona kumbe ndo ujanja!
 
Kweliii MKUUUSHUKA MAPAMBANO OPP KUNA BANGO LA HOSPT.. UKIFIKA WAELEZE UNATAKA KUTOA SUMU... MWILINI JIANDAE NA KALAKIMSHENZI UNAWEZA KUKAACHA HAPO IKIWEMO BA DAWAZAO
 
Ma
Jamani jamani...Nando wangu[emoji30][emoji30][emoji30]...i was watching BBA kwa ajili yake tu dah....and i thought anatumia weed tu...kumbe na sembe nayo....tumuombeeni jamani...Mungu amsaidie....

Mahandsome wanaisha sasa kitaa....
Ma hb bado tupo wewe acha hizo Au kwa sababu mchizi ni point 5.
 
Tatzo wanakula makap ya unga alaf hawajui kujtunza Rio anakula unga kama nyoka lakn yupo vzr tu
Hata Nando alivyohojiwa alisema hivyo hivyo kwamba yeye hatumii crack cocaine so hawez Choka na ni rahis kuacha,the rest is history endeleen kujidanganya na story za vijiwen. BTW unawajua Lamar Odom,Emmy Winehouse,George Michael,Whitney Houston?walikua wanakula nn?
 
"Amani kwa kaka voda milionea waambie wadogo zako waache poda wale mmea"- Babuu wa kitaa

Langa (R.I.P) akajibu "Amani kwa kaka voda milionea mwambie mdogo ako aache ushoga na umbea"
Who's Kaka VODA? Naona ametajwa sana kwenye baddhi ya hiyo mistari.
 
Back
Top Bottom