Hii ndio hatari na tishio linalotokana na changamoto ya upumuaji

Nani alikueleza leta picha tuone au news za kiingreza tuone
 
Duuh poleni sana
 
Takwimu zingesaidia sana watu kuona ukubwa na uzito wa tatizo. Hakika mtu aliyezuia upimaji na utoaji wa takwimu ni muuji kama corona yenyewe.
Wanakwambia bora watu wote wafe , ila uchumi ukue, Sasa sijui huo uchumi ni kwa manufaa Ya nani
 
Rais kala chanjo
Raia wanakata kamba

Ni rais wa Magada
 
Kwani mwaka jana mlikuwa mnajikinga vip kabla ujinga haujaingilia kati.
 
Huu ni ugonjwa au jinamizi? Maana unaenda kugusa sehemu maalumu ya kuitwa mtu yupo Hai yaaani PUMZI
 
The only thing that will save lives from this disease is to stick our asses at home. But the problem comes Black asses are not adhesive at all!
Yo' muvafukin azz insane ma nigga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jus craked a nigga ribs like fo sho!
Shitz hillariouz as Fuq!
 
I say huu ungonjwa kama ni kusambaa TZ na basi umesambaa saana... Nalaumu sana baadhi ya viongozi wenu. Nchi yenu ya TZ iina kila kitu inachohitaji kuwa number moja kand ahii ya afrika mashariki na ya kati. Lakini mara kwa mara decisions ambazo baadhi ya viongozi wenu huchukua, huwa za kuhuzunisha saana.
Walisema hakuna ungonjwa TZ na kutupilia mbali taratibu za kujikinga nakdhlika.
Its good to be unique ,but not too unique.
Hata Biblia yenyewe kuna mahali inasema:

ISAIAH 26:20 (Njoni, watu wangu, ingia wewe ndani ya vyumba vyako, ukafunge mlango nyuma yako ujifiche kitambo kidogo, mpaka ghadhabu hii itakapopita)
Mambo ya kujiunga na mambo ya afrika mashariki mkawa na ugumu, yaani mambo yenu mengi mnayafanya kitofauti tofauti na ina wagharimu saana kama nchi.
AMKENI NDUGU ZETU.
 
Sasa kinachofatia ni TZ kutengwa na nchi nyingi kutokana na hali ya ugonjwa huu huko kwenu..pia itabidi travel advisory zitolewe na hii pia itawagharimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…